Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.
Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.
Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.
TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#JamiiForums
“We cannot in the world, any more than in our own nation, subscribe to one law for the weak another for the strong; one law for those opposing us, another for those allied with us.”
President Eisenhower
Mgawanyo wa bajeti ya Serikali kisekta kwa mwaka wa fedha 2025/26:
🔴Kuhudumia deni la Serikali-Trilioni 14.2
🔴Huduma za utawala nje ya deni -Trilioni 10.3
🔴Maendeleo ya uchumi-Trilioni 10.2
🔴Elimu -Trilioni 7.4
🔴Ulinzi, utawala wa sheria na usalama-Trilioni 6.4
🔴Hifadhi ya Jamii -Trilioni 3.2
🔴Afya-Trilioni 3.0
🔴Maji, Nyumba na Maendeleo ya Jamii-Trilioni 1.8
If the state insists on narrowing the boundaries of belonging, it should at least do so openly, so those excluded can stop clinging to a citizenship that exists in name only. https://t.co/QQIGDWXcmc
Pope Francis on priests as Good Sheperds: “In seeking, he finds, and he finds because he takes risks. He does not stop when disappointed and he does not yield to weariness. Indeed, he is stubborn in doing good, anointed with the divine obstinacy that looses sight of no one”.
Father Kitima has always been a friend and pastoral caregiver. On issues of my personal faith when I got married, to his unwavering support during difficult political times. What has happened to him is a new low and a difficult reality to contemplate.
"As we mark World Press Freedom Day, we are reminded that telling the truth is not a crime. Journalism is a pillar of democracy, accountability, and peace." - Michel Toto, @unescodar Representative.
#WPFD2025
Katika zama hizi za Kidigitali, Mitandao ya Kijamii si tu kwaajili ya kushirikishana taarifa, bali ni Majukwaa ya Biashara, Ushawishi na Maendeleo. Hata hivyo, wabunifu wengi wa Maudhui bado hawajafaidika kikamilifu na fursa hizi
Kwa kutambua hili, Katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yanayoendelea Arusha, JamiiAfrica na Wadau wengine wameandaa mafunzo kwa wabunifu wa Maudhui yatakayohusisha Utengenezaji bora wa Maudhui na ushirikishwaji wa Watu, Mbinu za kupata kipato kupitia Majukwaa ya Kidigitali, Usalama Mtandaoni na matumizi sahihi ya AI
#JamiiAfrica #JamiiForums #WorldPressFreedomDay #PressFreedom #WPFD2025
Twaweza East Africa has appointed Anna Bwana (@BwanaAnna) as its next Executive Director. After a rigorous open search process, Bwana was selected and will take up her new post on 15 May 2025.
She replaces @aeyakuze, who has become the CEO of the @opengovpart.
Learn more: https://t.co/mu71jWsZCh
#ChangeNiSisi
Nafurahi leo tumepata mkurugenzi mpya wa @FCSTZ. Baada ya mchakato wa miezi mitano, bodi imemteua Bw. @justicerutenge kuwa mkurugenzi mtendaji kuanzia tarehe 1.05.2024.
Naamini ya kwamba Bw. Rutenge ataleta mawazo na maarifa mapya ya kuendeleza taasisi kufikia malengo mahususi.
Getting lots of calls for @RestIsPolitics emergency podcast. @RoryStewartUK and I both running around all over the place but hoping to find a slot late pm
Calling all fans and writers, join us tomorrow, October 24, from 1PM to 3 PM, for a conversation and meeting with Abdulrazak Gurnah, Nobel Prize winner. Gurnah will talk and exchange ideas with fellow writers from Dar es Salaam.