@EraMandela@G_Nganyagwa @chasakaHOVA @real_winstone@Hunterjay12345 Tell them movie za korea kali zipo lkn bado jumong kali mfano movie kali zipo kama iris,six flying dragons, warrior baek dong su, the great Queen seondek,land of the wind, yaah vagabond arthdal chronicals, iljimae, empress ki na nyingine nying lla JUMONG itengwe
@mdudu_7 Wanaweza kulisema kirahisi na pia kama ulifatilia page ake ya IG marioo before kutoa video alipitia kwa viongozi mbalimbali kupata approval directors wawili wamefanya kaz hyo kaka na hyo sio reason ya kushuka trending mond ni mond mzee na comasava yenyewe inajitosheleza kuwa no1
@mdudu_7 Kaka fatilia tena hakuna matata kaitoa sio kwa lengo la mapenzi tu ameitoa pia kulitangaza taifa thats why umeona location nying zinaonesha vivutio na amali nyingi za taifa mbuga, uwanja na pia neno lenyewe hakuna matata ni kiswahili au neno ambalo most of foreigners ndo ๐๐