Oh my God πππ please..para maikasal na rin ako πππ kayo nlng hinihintay namin @bernardokath@imdanielpadilla pero anyways.. okay lang din f di pa ngayon.. maybe sa tamang panahon πππππππππππππ
SZIFF2019
Katika muendelezo wa uonyeshwaji wa filamu za kimataifa zilizoingia katika kinyang'anyiro cha tuzo za SZIFF2019, kipengele cha World Cinema, Leo Jumatano ni filamu The Hows Of Us, kutoka Philippines, saa moja kamili Usiku,pale pale City Mall Cinema.
Hakuna Kingilio