Stress ni pale umejiunga bando kwa gharama Kubwa kucheki match ya #Taifastars tukafungwa lakini unapojinga na bando za @TTCLCorporation huwezi pata stress Jana nimetazama mpaka uchambuzi nikaunganisha na match ya #HarambeeStars na MB zimebaki kibaoo kweli #Rudinyumbanikumenoga
Hi #tangazeni ya Baghdad nadhani inatakiwa iwe project ya kitaifaa
Ifundishwe ata mashuleni .kwani ni mda sasa wa kutazama yalio chanya katika inchi yetu pendwa ya #Tanzania