Huyu bibi anateseka sana. Mauwaji aliyofanya na Polisi wake yatamtoa roho.
Nadhani anaongelea clip za yale mauwaji.
Ili mradi vimerekodiwa lazima vitarushwa sana.
Utatunyamazishaje wakati tunasubiri kuzika?
Tunazitaka maiti za ndugu zetu tuwazike kwa heshima na kumaliza matanga.
Kama MADENGE hana ushahidi wowote kuhusu FORD kuwalipa watu kuandamana,
Nasi asidhani wamekaa kimya, sababu amewachafua pakubwa sana, Aangalie sana, Mashirika ya kimtaifa huwa hayasahau, Anaweza kuja kukamatwa miaka 10 Baadae kwa kosa hilo.
Anakuambia hana lolote na wanaharakati na huwa hashiriki nao, ila jana alisema kama wanaharakati wanajeuri waweke space ili aseme yote, haluna shughuli humo 😂
Huyu ni sativa👇
1. MWANAHARAKATI WA HAKI ZA BINADAMU.
2. MCHEZA KAMALI.
3. SPORTS CONTENTS CREATOR.
Kazi zote 3 lazima nizifanye kila siku. Na hizi kazi zangu zinahusisha mahusiano na watu. Hakuna mahali napwaya kama ROBOT.
Wewe unanifuatilia angle Ipi?🫵🏾
TANZANIA LOVES YOU BABA!!!!!!!!!
After pressure from the US Senate, today Samia Suluhu ‘s murderous regime has dropped the case against the main opposition party, CHADEMA. We are now hopeful she will release Tundu Lissu.
@realDonaldTrump@potus Once we have our country back from the killers, your statue will proudly stand at Posta round- about as the man who liberated Tanzania from black colonialism. You are single handedly bringing FREEDOM to Tanzania!!!
@tedcruz@SenatorShaheen@SFRCdems@SenateForeign@SecRubio Tanzania willl forever thankful. THANK YOU!!!! PLEASE KEEP APPLYING PRESSURE!!!
GOD BLESS TANZANIA, GOD BLESS AMERICA, FOREVER ALLIES!!!!!!!!
Samia Suluhu hana sababu ya kuendelea kumshikilia Tundu Lissu kwa mashitaka ya uongo. Kumnyima mtu uhuru wake na kumtesa gerezani bila hatia ni sawa na kukusudia kumuuwa. Ukatili huu ni lazima ufikie mwisho.
Free Tundu Lissu Now!!
Aliyemshauri Madenge Aongee Kwenye Space Leo Ndo Kaharibu Kabisa, Hata Waliokua Na Imani Kidogo Kwake IMEPOTEA Kabisa
Binafsi Kumtenganisha Madenge Na Kutumiwa Na “System” Au Kumtenganisha Buyobe Na Jaribio La Kutekwa Mshabaha Kenya Inabidi Uwe ZEZETA Kweli Kweli
#BreakingNews
Kesi ya Mgawanyo wa mali za CHADEMA imefutwa leo naona Said Issa na waliomtuma wameweka mpira kwapani.
Na bado hata kesi ya Mhe. Lissu watafuta tu
Kumbe VISA mnataka.😁
REPOST 200
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
Bunge La Marekani Likimaliza Kupitisha Mswada Wa Kuwawekea Vikwazo Viongozi Wa CCM, Akili, Nguvu Na Mapambano Yahamie Bunge La Ulaya
Wakiwekewa Vikwazo Na Mali Zao Kutaifishwa Marekani Na Ulaya Akili Za Hawa Nguruwe Wa CCM Zitakaa Sawa!!
Waandishi mataputapu kama Balile, Kamwaga & co hawakufungua bakuli zao ku report mauwaji ya Oktoba 29.
Miezi 7 baadaye wamempiga pesa Samia eti waandae documentary kuonesha mauwaji yalisababishwa na wanaharakati na mataifa ya nje.
Huu kama sio uwendawazimu ni nini?
Unajua kwanini milio imekuwa mingi kuhusu huo muswada pendekezwa huko USA?.
Watu washajaa kwenye mfumo maana muswada umependekezwa na democratic na Republic chama tawala na upinzani!!
Hapo ndo ile wanasema ugali moto, mboga moto, maji ya kunawa moto na maji ya kunywa moto! 😂😂
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
Kwa mujibu wa Jaji Kiande, Master Tindwa alipigwa risasi akauwawa akiwa nyumbani kwake sababu alilipwa na akapewa mafunzo ya kuandamana.
Keep resting in peace, Master!
What a sad day for us!!
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏