#DidYouKnow🧠
Je WAJUA!?🤷
Kwa msimu huu Polisi Tanzania ndio timu iliyotuchangia alama na magoli mengi zaidi kwenye safari yetu ya kupambania nafasi 3️⃣ za Juu🙌
⚽ | Michezo - 2️⃣
🥅 | Magoli - 4️⃣
⛳ | Alama - 6️⃣
Kituo Kinachofuata ➡️ Coastal Union FC.
#GGFC | #SisiNiDhahabu
#TanzaniaBurundi⚡
Sisi Matajiri wa Dhahabu na Burundi tumeshakuwa kama ndugu sasa.
Muda wowote ule tunaweza kwenda huko kuchimba madini na tukarudi nayo Geita🤗
🇹🇿 🤝 🇧🇮 🟰✅
#GGFC | #SisisNiDhahabu
#FareWell🙋
Tumefikia makubaliano ya kuachana na wachezaji tajwa hapo chini kwa manufaa ya pande zote mbili.
Kwa moyo mkunjufu kabisa tunapenda kuwatika kila la kheri wachezaji wote hao katika maisha yao ya mpira nje ya kikosi cha Matajiri wa Dhahabu✊
#GFFC | #SisiNiDhahabu
#NationaTeamCallUp🇹🇿
Adeyum Ahmed Saleh ni miongoni mwa wachezaji walioitwa kuunda kikosi cha timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes).
Hongera sana Adeyum, Matajiri wa Dhahabu tunakutakia kila la kheri kwenye majukumu yako ya timu ya taifa ✊
#GFFC | #SisiNiDhahabu
#CCL | #PreliminaryRound⚡
Tumepangiwa kucheza na Hilal Alsahil ya nchini Sudan Kusini kwenye hatua ya awali ya kombe la shirikisho la Afrika.
Matajiri wa Dhahabu tunarejea rasmi sasa kwenye mashindano ya kimataifa, mashindano ya hadhi yetu👌
#GFFC | #SisiNiDhahabu
#GoldenBoys⚡
Kucheza mashindano ya kimataifa Afrika msimu ujao ni swala la muda tuu.!
Matajiri wa Dhahabu tulieni mambo mazuri zaidi yanakuja, hakika mtafurahi🤗
#GGFC | #SisiNiDahabu
#NBCTFFAWARDS2022🎖️
Nyota wetu George Mpole akikabiziwa tuzo yake ya mfungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC .
George ameshinda tuzo hio baada ya kufanikwa kufunga jumla ya magoli 1️⃣7️⃣ Kwenye michezo 3️⃣0️⃣.
Hongera Mpole, Dhahabu imerudi kwa wenye dhahabu zao🔥
#GGFC | #SisiNiDhahabu
#MatchUpdates⏱️
Dakika ya 7️⃣0️⃣', tumepata goli moja, bado vijana wanapambana kusawazisha✊
( Yanga SC | 3️⃣ 🆚 1️⃣ | Geita Gold FC )
UNDER - 2️⃣0️⃣ PREMIER LEAGUE
#GGFC20 | #U20PL | #SisiNiDhahabu
#MatchUpdates⏱️
Dakika ya 6️⃣0️⃣', tunapambana kusawazisha ✊
( Yanga SC | 3️⃣ 🆚 0️⃣ | Geita Gold FC )
UNDER - 2️⃣0️⃣ PREMIER LEAGUE
#GGFC20 | #U20PL | #SisiNiDhahabu
#ElCapitano🙌
Mateso kama haya tuliyokuwa tunayatoa kwa magolikipa wengi wa Ligi Kuu ya NBC, sasa tunayahamishia kwa wakubwa wenzenu kwenye kombe la shirikisho🤗
Matajiri wa Dhahabu to the World🌎
#GGFC | #SisiNiDhahabu
#WakiMataifa🛫
Timu kubwa tuu ndio zenye uhakika na uwezo wa kushiriki na kucheza mashindano ya kimataifa Afrika🌍🙌
Matajiri wa Dhahabu sasa ni zamu yetu kutesa kimataifa na kuonyesha ukubwa wetu😊
( cc: @cafclcc | @caf_online )
#GFC | #SisiNiDhahabu
#FullTime⏱️
Tumepata sare kwenye mchezo wetu wa mwisho wa Ligi Kuu ya NBC, matokeo hayo yanatufanya tubaki nafasi ya 4️⃣ kwenye MSIMAMO.
( Coastal Union FC | 1️⃣ 🆚 1️⃣ | Geita Gold FC )
⚽ | Rashid Chambo - 1️⃣9️⃣ | George Mpole - 1️⃣1️⃣
#GGFC | #NBPL | #SisiNiDhahabu