@kambeyIsaac @TrollFootball Siku nyingne takuja nikuchape kuwasema ma MVP wa soka na clubs kubwa duniani, ligi #ureno club #benifica bado mwamba ni top scorer na ni MVP UNAMFANANSHA NA MAGUIRE kweliii
@kambeyIsaac @TrollFootball Kaka wote tuna akili ila tunatofautiana kureason, mtu kacheza mechi mbili tu, dhidi ya full mkoko wa man u na full mkoko wa crystal, Tena kwa dakika chini ya 120, subiri msimu uanze mtampenda aisee nawambia
@kambeyIsaac @OfficialFad18 Mdogo wangu, kuna club zinatakiwa heshima, zinaongoza kuchukua makombe kwenye ligi zinazocheza halafu huziweki unataka nn,
Unakuja kuweka team mara ya mwsho imechukua kombe 2017