Kuna hii time nilikua plug moja ngori apo KU nlikua nawashika mablunt🍁na weed cookie now ikafika hii time ya long holiday nikajigas ati siwezi rudi ocha ati ju biz inalipa and i don't need support ya wazazi...lemmi tell you comrade wote wakaingia nyasi na hao ndo walikua....