Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Mhe. Said Mzee Said, leo tarehe 15 Mei 2026 ameongoza kikao maalum cha Kanda ya Victoria iliyowakutanisha viongozi wa ngazi ya Kanda, Mkoa katika maandalizi ya uzinduzi wa Operesheni ya #KatibaMpya#FreeLissu,atakayofanyika kesho KATORO GEITA.
Mwenyekiti Wa Chaso SAUT anawakaribisha Wasomi wote Kushiriki Kongamano litakalofanyila mei 13,2026,Maeneo ya Nyakahoja, katika ukumbi wa Mayala hall, Jijini Mwanza,Kuanzia saa Tatu Asubuhi. Stay tuned !!
#FreeTunduLissu#KatibaMpya
Popote ukatakapo pita ukakuta Office ya @ChademaTZ2 imefungulia nunua katoni mbili za maji wape na 5000 ya nauli nenda zako watu wanafanya kazi ya kitume
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Mhe @HecheJohn anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika Kongamano la Wasomi(CHASO) Mkoa wa #Mwanza ,litakalofanyika Tarehe 13/05/2026.
Wasomi watajadili Mambo Mbalimbali ikiwemo Madai ya #KatibaMpya#FreeTunduLissu.
Stay tuned!
Kutumia media uchwara kujaribu kufanya agenda setting sio kwa kizazi hiki..
Kizazi cha internet kinajua Mpaka Ulaya watu wanavyoishi na wanavyopigania haki..
Ujinga Kama huu ulifanyika kabla ya uchafuzi wenu wa mwaka jana .
Mwisho mliishia kuua maelfu ya watu.
Watanzania sio wajinga, wanajua wanaolipwa kufanya propaganda za kijinga.