Unaniumiza out Now in all digital platforms
Click the link below to Stream
Like and share ๐ฅ๐ฅ๐๐ฝ
Letโs Cry together ๐ญ๐ญ๐ญ
https://t.co/Fb54hLwcgv
Hapa nakupinga kaka mbona hata hii Na Rayvanny ya juzi "SENSEMA" kijana wako kagalagazwa i can't imagine alipata shida kiasi gani kuandika ile verse sabu Rayvanny alikua kashaimba vyote
@chapo255 ๐๐ Kaka Chapo, tunakubaliana ngoma ya "Kwangwaru" na "Bado" Mmakonde alikuwa mpya sana kwenye Game......Hilo la kufunikwa tulilitarajia
Ila ndani ya "KAINAMA" Almas alikaa.....
Na HARMONIZE wa sasa sio yule, naweza kukuhakikishia kwa Sasa Almas atafichika vizuri sana