Nauli ya bajaji zimepanda katika safari fupi fupi kutoka 500/= hadi 1,000/=
Nauli ya boda boda safari fupi kutoka 1K-2K
Nauli ya daladala safari ya kituo kimoja hadi kingine 700/=
Gesi ndogo imepanda kutoka 23K hadi 30K
Alafu mtu unataka jezi zibaki constant kweli??
Jamani muda wowote kuanzia J'tatu gas nazo zitapanda bei na bei zake zitashangaza wananchi.
Bado kuna mvutano baina ya mamlaka na wafanyabiashara/wholesalers.
Gas ya 15Kg Orxy refile kutoka 58,000 mpak 82,000.
6kg itanunuliwa zaidi ya 28,000. Tusubirie hatma ya huu mvutano wao.
๐ฉ Tired of lint rollers that never quite finish the job? Meet the Pet Hair Remover Glove โ the reusable glove that grabs stubborn pet hair and holds onto it.
Siri 3 za kula mapema na kula kushiba kwenye harusi ambayo hujaalikwa.
1. Vaa Vizuri (ikiwezekana hifadhi suti zako 5, unabadilisha makoti tu)
2. Ingia ukumbini na wakwe na kaa nao
3. Tokea sana kwenye Camera ( ikiwezekana jifanye kama unamjua mwenye harusi)