@HildaNewton21 Unawafanya mioyo yao ndio idunde kama kitenesi kilichoachiwa kutoka ghorofa ya kumi, sahv watakua wanapekua attendance ya wateja hapo siku za hivi karibuni
@Roma_Mkatoliki Nchi hii waliopiga hela enzi ya Ben10 ndio wanahela zao zinaishi hadi leo bado ni madon hao wengine hizo hela hazinaga life-span ya kueleweka hata ukaacha urithi
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Zaidi https://t.co/P2bs8TZSkR
#JamiiForums#Utawala
@Roma_Mkatoliki Ofcourse vijana wanazingatia brand na networking jinsi bongo ilivyo nyoso haijulikani kijana anatokea wapi kwenye siasa, michezo, na burudani(mikusanyiko) mingine. Hatuna mfumo sahihi kama nchi ndio maana kijana unaweza kumkuta usiku club asubuh church na jioni exam room