@MartineMasalu@Roma_Mkatoliki Nambie Mapungufu matatu ya Tundu Lissu na udhaifu wako mmoja tu kama huna unaweza pia kusema hasa katika nyanja ya siasa au uongozi
@Jambotv_ Endapo Mbowe akishinda sina hakika kama team Lissu wataendelea kuwa na morali hivyo atapata wakati mgumu mno kwenye kujenga Imani ya chadema kwa watu, lkn timu Lissu wakipita Moto wake utazimwa kwa shida na CCM na rahis timu Mbowe kuwaunga mkono
@AbroadTanzania Mimi ni timu hangaya ila hurka ya Lissu ndo hata Mimi nilivyo Bana, nampenda Sana Lissu kutokana na ukweli na misimamo yale bana.. hiyo namba 7 ya madhaifu kama Mimi kabsa.
Naumia sana kuona watu wanaofanya upumbavu na kuharibu fedha za serikali au kuhujum mirad afu mtu anachekew