i want to live well with the community around me and may god give them good health because we are all brothers.❤️🇹🇿Tanzania❤️Man United 💪. Love❤️ Mom and Dad
Kweli naomba RT kwa @Naytrueboy kwakweli anatoa ushirikiano wakutosha katika maswala ya kudai haki, Nay yupo tofauti na wasanii wahovyo! Naomba tuutambue mchango wake kwa retweet zakutosha na tumfollow mpaka ashangae...RT kwa trueboy Tafadhali 🔁💯
"Kibona Kibona Mimi siogopi kubebwa" ni maneno ya ujasili toka kwa Mh. @jjmnyika, Polisi walipomtishia kumbeba Jana baada ya kupinga kwa nguvu zote kitendo cha kufungiwa ndani ya mahakama, Jana baada ya kesi ya Mh. Freeman Mbowe.
@Mangiwakwanza @Cyancuty @babalao__@fazoboya @__abdulazack @HKigwangalla @mtemi990 @FabrizoRomanoFx @FumboKhan2019 @Eng_Chrisam @BarikielUlotu1 Ambacho aujaelewa hapo nini? Au unatafuta kiki? Au Unakurupuka au umejikia tu kutekenywa?