Huyu jamaa ni kama PANYA.
Akiona mmekaa zenu sebleni na wageni ndio anajitokeza na kujipitisha ili mjue yupo. Kila mwaka akionekana kwenye matamasha ya michezo yeye ni huu UCHAWA wake.
Leo kakutana na watoto wa Mjini wamempokea vile alivyokuja. Asante sana wana Simba Kwa kukataa kuharibiwa team yenu mliyoijenga kwa thamani kubwa na hili lijinga.
Leo hii mnaona Team ya Taifa haina mvuto ni kwasababu ya huyu MPUMBAVU GRISHONI MSIGWA. Kapandikiza CHUKI watu tunaichukia team ya taifa mpaka wachezaji.
Wembe ni ule ule, ijumaa najua ataenda kwa Yanga, ataleta huu upumbavu, jibuni mapigo kama walivyofanya simba. Sema nyie hata mkishangilia hatutaahangaa maana mmechangia watanzania Watekwe.
Leo mmethibitisha kuwa kweli SIMBA NGUVU MOJA. โค๏ธ๐ฆ
REPOST 500
#NguvuMoja
#Wenyenchi
#SimbaDay2025
#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
@Eric__Bernard Usimguse father Magu,, hata huyo unayemtetea alikaa kimya tena akiwa n position kubwa kuliko unaowahukumu kama ni kukiri basi wa kwanza n aliyekuwa makamu wa raisi Magufuli
P:S, watanzania sio wapumbavu๐ฎ
Kwa Wanasimba wote, asanteni kwa ushirikiano ambao mmetupatia kwa msimu wa 2024/25. Tunajivunia kuwa na mashabiki kama nyie ๐ #THISISSIMBA#NguvuMoja
Wadada wengi wanaongoza kutoa harufu Mbaya mdomoni.
Na hapo changamoto haipo kinywani, Changamoto ipo tumboni.
Na sababu kubwa ni uSistaDuu wa kutokwenda haja kubwa ๐
Kadada kanajibana kwenda chooni hadi Week na kila siku kanakula kanashiba
Hivi huyu Msigwa anatumwa na nani kusema haya mambo? Huu ni msimamo wa serikali au anajisemea tu?
Huyu hafai kuwa msemaji wa serikali kwa kuwa ni moja ya watu wajinga sana kuwemo kwenye utumishi wa umma!.. Kalelewa sana matokeo yake ndiyo haya sasa!.
Hivi hakuna mtu mwenye weledi na ufahamu na maarifa kuwa kwenye hii nafasi? Huyu ni wa kufukuzwa kwenye hii kazi hana anachoisaidia seeikali zaidi ya kuleta ujinga na taharuki tu!..
Haya maujinga yake ya MATAGA anataka kuyaleta tena huku anadhani bado tuko zile zama za Kambale na kutisha watu na ubabe!. 4Rs haziko hivyo nenda kasome na uelewe zina maana gani wewe Msigwa!..
Hiki ni kitu gani sasa? Yaani hili linakuwaje kosa la kutumia resources za serikali na kuanza kutafuta na kukamata watu wanao comment hivi?
Kuna muda ni ngumu sana kuiteteaga serikali khaaa ๐ค๐ฅน