Kuna siku nitakuja kuwa punter mkubwa na milionea hapa bongo (Ardhi ya mbambadu)ntatumia nafasi hyo kuiaminisha jamii,mitaa inayotuzunguka km betting ni sehemu ya investment km ilivo baadhi ya nchi na kupewa heshima kubwa... very soon ๐๐ฐ๐ฏ๐