#VIDEO Watu wengi imeelezwa kuwa wamekuwa wakisumbuliwa na changamoto mbalimbali za afya ya kinywa kama kuharibika kwa meno na kupata harufu mbaya ya kinywa kutokana na kukosa elimu ya kufanya usafi wa kinywa hali inayopelekea kung'oa meno na kusumbuliwa na harufu mbaya ya kinywa.
Mtaalamu wa Afya ya kinywa ameeleza kuwa watu wengi wamekuwa na nadharia ya kwenda kung'oa meno bila kwenda kupata tiba huku wengine hawana elimu ya kufanya usafi wa kinywa.
#EastAfricaTV
@AbroadTanzania Mkulima analima ili apate kipato, hakuna mtu anakuwepo wakati huyu mkulima anahangaika, lakini tunataka kumdhiti wakati wa kuuza, stop politicizing everything,,think out of box
@CloudsMediaLive@masoudkipanya Inasikitisha sana, na hii inatugharimu sana kusonga mbele, watu walio katika decision making ndio wa kwanza kubeza. This guy cant tell between Innovation and Invention, pia anaona wivu kuona watu wakifanikiwa. Sishangai kwanini innovation zetu zinaishia kwenye maonesho tu🤔.
@deomunishi2@chevi_masta@millardayo Kwa nini anaongea akiwa amevaa shades, macho huwa yanacomunicate, so anajua akitoa hizo shadea tunamuona anavyosema huo uongo wake
𝗡𝗘𝗫𝗧 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛🔰
🆚Coastal Union
🗓 20 Dec 2022
⏱ 1815 EAT
🏟 Benjamin Mkapa
🏆#NBCPL
Come in numbers to support Byuti Byuti style tomorrow as we will punish Coastal Union SC, they'll sweat and eat grass😂
Retweet until it reaches them
ALWAYS FORWARDS NEVER BACKWARDS🔰
Many football clubs have been asking us how to be unbeaten😀. Let us gather here to give them some education!!!👇
Retweet for the love like for the passion and reply for short conversation!!🥳
THE CLUB ABOVE ALL🔰🎶 @YangaEnglish
@HecheJohn Kuna wakati we need logic, sio kwa sababu Dodoma ni Capital City,,then everything thing should move to Dodoma, inefficiency tunayo kwenda ku create tutashangaa. It’s not late maybe they will reconsider