Kama wewe ni mdau wa kilimo, na zaidi kilimo cha mazao jamii ya choroko, mbaazi na ufuta basi mtaalamu Lillian Kimei kutoka Somani Agro-Export Limited anakwambia FURSA NI NYINGI...
Tazama video yote kupitia Link hii https://t.co/9kPaLWARiA #MadeinTanzania
Leo usiku saa 2:30 kwenye Made In Tanzania ya Clouds Tv ni 💥💥 usiache kutazama.
Zaidi unaweza tazama kupitia YouTube Account ya Xtreme Media kupitia Link katika Pinned post yetu na Bio yetu.
#MadeInTanzania
Hivi unajua kwamba, kukosa taarifa sahihi kwa wakati sahihi kunatosha kufanya usizifahamu baadhi ya Fursa ambazo ulitakiwa uzi fahamu?
Gusa video chini hapa, then Wiki hii saa 2:30 Usiku, tazama Clouds Tv au Fuatilia madini toka YouTube Channel ya Xtreme Media
#MadeInTanzania
On '23,' Burna Boy heralded Michael Jordan as a standard for greatness.
On @ListenAfrica_, this week, we discuss why a Michael Jordan appearance in Burna Boy's video for '23' is a no-brainer. It goes beyond music too.
You can read our thoughts below;
https://t.co/qvwHr10zbr
Sabasaba ni fursa ambayo imewapatia wafanyabiashara mbalimbali nafasi ya kuunganishwa na fursa mbalimbali ili kukuza bidhaa zinazotengenezwa hapa hapa Tanzania.
Usikose kutazama Made in Tanzania Jumatano hii kupitia Clouds TV saa 2:30 Usiku. @TanTradepage
Team ya #MadeinTanzania ikiongozwa na shupavu @SamSasali kwa kutambua umuhimu wa sekta ya kilimo kwenye kuzalisha Bidhaa za Tanzania imekutana na kufanya mazungumzo na Naibu waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe makao makuu ya Nchi Jijini Dodoma.
Unastress za ujenzi? Au bado haujui pakuanzia kwenye suala la #Mjengo wa ndoto yako? Basi, Jumatano hii weka ratiba zako sawa, kisha tazama mida ya Saa 2:30 Usiku⠀
⠀
Kaa tayari katika Channel yako Clouds TV - Azam CH 403 | Startimes CH 109 @CloudsMediaLive@SamSasali
⠀
When Disney World begins a phased reopening in July, several measures to prevent the spread of coronavirus will be implemented, including wearing masks and temperature checks https://t.co/P963Eq0F8q
In an environment where nearly everything has changed, consumer goods companies need to figure out which new buying patterns are temporary, and which will linger for years to come https://t.co/JIsWkPHT11