Join us for a viva voce presentation by Mr. Juma Zuberi Homera on his research titled "The Effectiveness of Village Land Councils in Managing Land Use Conflict between Farmers and Pastoralists in Tanzania"
🗓 Date: Monday, 17th March 2025
🕒 Time: 09:00 Am
📍 Location: Fanon LT1
@adamlutta Well pana haja ya kuangalia zaidi kwa ndani ya mafanikio hayo. Je kipi kati ya parts za vifaa hivyo ni zao? Kwa laptop je wao wanatengeneza motherboard, storage media, processor, RAM, OS, case? if vyote ni imported then wao ni assembly units za watu. Zipo boda zinaungwa TZ pia.
Mafunzo Kwa Vitendo ya Mfumo wa Ofisi Mtandao (e-office), Mfumo wa Barua Pepe (GMS) na Uzingatiaji wa Sheria ya Matumizi Sahihi ya Mifumo Tumizi ya TEHAMA kwa Taasisi za Umma.
@HabarimpyaTv Tunajenga nyumba moja tusigombee fito. hata hivyo vyama vyetu Tanzania haviendeshwi kwa itikadi yoyote ndio maana ni rahisi kuhama kambi moja kwenda nyingine.