@safarimlevi Weka imani yako pembeni kijana Mlevi mana hapa utakosolewa uje usewe watu hawaipendi Deni kwa sasa hakuna mtu yoyote anaemfikia Ronaldo kwa influence
@Teoludo47@Adv_innocent Goat kashavuka hizo level ss hv anapambana kulipa taifa heshima ya mwisho, ila mbuzi wao wa vingunguti wanamshindanisha na Vijana ambao wanamhusudu Ronaldo ๐ Ronaldo kaamua kumuacha mbuzi wao ashindanishwe na vijana wake
@Innocen89950594@fintanjr_ Endelea kumshindanisha Goti wako na vijana wa Mbuzi huo ndo utofauti wa ukubwa na kulazimisha kuwa mkubwa tena kwa wizi wa wazi๐
@anuskills3 Si Rahisi sana kumtaja Messi bila kumtaja Ronaldo ila ni Rahisi sana kumtaja Ronaldo bila Messi. Messi anafanya maajabu ktk hizi mechi mbili ajabu anaeongelewa na Ronaldo na hapo ndo utajua nani anashindanishwa na nani