Mnaona huu upumbavu mnaoufanya eegh?
Halafu mnataka tusiseme kama mna chuki na uislamu?
Wallah naapa hii vita mnayoianzisha ni mbaya kama waislamu tukiamua kuchagua upande
HAMTOBOI
Baadhi ya watu wanamwita ZK “dalali” bila hata kuwa na hoja. Ukijaribu kuuliza “Umeshuhudia wapi udalali wake?” Alishawahi kukudalalia nini hadi umuite hivyo?” Hana jibu—anabaki kurudia, “Dalali… dalali… dalali.”