Hello Dears♥️ Mungu ametubariki na week nyingine tumshukuru🙏 Iwe week ya kuona miujiza ya Mungu katika njia zako za utafutaji Mungu asikie kuomba kwako na kukufanikisha zaidi ya yote akuepushe na kila ubaya uliojipanga kukudhuru🙏😘
Kama huwezi kuwa msaada kwa mtu basi jitahidi sana usiwe kigingi kwenye safari yake ya maisha,maisha tayari ni magumu,sasa ukijiongeza na wewe kwenye ugumu unategemea nini? Ndio uchawi wenyewe.
Tupambane na maisha,kupambana na watu ni kupoteza muda tu.
Good morning fam.
Hello Dears♥️ Kama vile ambavyo usiku hauombi ruhusa ili uingie wala asubuhi haiombi ruhusa ya kufika kadhalika wakati wa kufanikiwa kwako utakapo ruhusiwa na Mungu hautaomba ruhusa kwa yeyote KAZA💪 HAKIKISHA HAUUKATII TAMAA WAKATI WAKO MUNGU SI MTU😍
Kutakuwa Na Watu Ambao Wanachukizwa Na Wewe Kwa Sababu Hawaelewi Ni Kwa Namna Gani Bado Unabarikiwa,Licha Ya Kukupiga Vita Ili Ushindwe.MUNGU Yupo Upande Wako Usichoke Kupambana.
Good Morning🌄Ladies And Gentlemen🫂
Busara ni kuishi na kila mtu kutokana na mapungufu yake na kumvumilia maan hata wewe una mapungufu yako na wengine wanakuvumilia hakuna mkamilifu
Good morning🖐
Mithali 12:11
Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele;
Bali afuataye mambo ya upuzi hana ufahamu.
He that tilleth his land shall be satisfied with bread: but he that followeth vain persons is void of understanding.
Good Day 🌻 💕
Hello Dears♥️ ZABURI 35:4 David aliomba Dua hii kwa Mungu!! Waaibishwe wafedheheshwe wanao itafuta nafsi yangu warudishwe nyuma wafadhaishwe wanao nizulia mabaya🙏 Tupo kwenye dunia ambayo hata kama wewe huna shida na mtu kuna watu wana shida na wewe USIACHE KUOMBA 🙏😍