@FKihamu Ukiwa unakuja na hoja kama hizi, kumbuka kufanya comparison ya wachezaji husika waliocheza dhidi ya Taifa stars na hawa waliocheza na uhispania.
Hakuna feeling nzuriโฆ
Kama kuona watu ambao unawafundisha na kuwa-guide wanapiga hatua each and every day
Hii Game ni ngumu, kama hauzielwei njia zake! ukiona mtu anaweza compound capital from point A to B on his own MUHESHIMU
Dedication+Resilience yake sio ya mchezo!
Thereโs nothin I enjoy more than lookin at the charts , I'm so obsessed w it.
Hilo n jambo moja ila kujifunza kupitia mikono na charts za @freemaker_tz n barakah kubwa sana, he's more than mentor๐๐ฅ๐