Matendo : Mlango 11
17 Basi ikiwa Mwenyezi Mungu amewapa wao karama ile ile aliyotupa sisi tuliomwamini Bwana Yesu Kristo, mimi ni nani niweze kumpinga Mungu?
@abuuniwowa @exceptionalkarl @shaffihdauda1 Huyu mrembo hajui chochote anajua Kingereza cha madafutari hajui misemo na semi za kingereza hajui "The long wait" ni msemo ukiachia mbali maana yake ya msingi
Ipo siku namimi nitafurahi Kama watu wengine, atakama siyo kwa Maisha Aya hapa Duniani basi kwenye Ufalme wa MUNGU nitafurahi UTAKUWA akuna maumivu, uzuni wala machozi MUNGU atafuta fedhea na maumivu yote niliyopitia hivyo nitakuwa nafuraha isiyokoma #tabasamuatakamakunamaumivu