Anaandika Wakili @Advocate_Kisabo
Leo, Julai 27, 2026, nimemtembelea Mhe. Tundu Lissu Tundu Antiphas Lissu Gereza la Ukonga. Mbali na kunipa maelekezo kuhusu maandalizi ya nyaraka za submissions katika kesi yetu, kufuatia kukamilika kwa maswali ya dodoso Julai 23, 2026, Mhe. Lissu amesisitiza kwamba watu wote waliokamatwa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi wanapaswa kupata uwakilishi wa kisheria na kutembelewa mara kwa mara magerezani ili kuwafariji, kufuatilia ustawi wao na kujua maendeleo ya kesi zao.
Amenieleza pia kwamba hakuna hata mmoja anayepaswa kusahaulika, wote wanapaswa kutetewa na mawakili.
Nilienda na Wakili Deogratias Mahinyila Deogratius Mahinyila lakini hakuruhusiwa kuingia baada ya maafisa wa Magereza kudai kuwa jina lake halipo kwenye orodha ya mawakili wanaoruhusiwa kumwona Mhe. Lissu.
Mhe. Tundu Lissu anawasalimieni sana Watanzania. Pokeeni salamu zake.
REPOST 200
Hakuna miaka mingi mbele kutoka leo. Pombe inatengeneza janga ambalo wengi hawalioni. Ikiwa mwenendo wa sasa utaendelea, itaua watu wengi zaidi, kuvunja familia nyingi zaidi, na kuchochea kuporomoka kwa maadili ya jamii kwa kiwango ambacho kitakuwa tishio kubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Inatisha sana.
Makamu Mwenyekiti wa chama Bara akizungumza katika Kongamano la wasomi wa Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, lililoandaliwa na Chaso, ambapo amejadili masuala mbalimbali yanayohusu demokrasia, utawala bora na nafasi ya vijana wasomi katika maendeleo ya taifa.
Iko hivi…….
Umri unaenda pengine hata uzee unakaribia…..but kuna ndoto na goals haujazi-accomplish.
Wakati umri unavyozidi kukua ndivyo maradhi nayo yanazidi kukunyemelea, changamoto zinazidi kuwa nyingi na kubwa!!
Majukumu yanazidi, family issues, kids, ndoa/mahusiano, na unakuwa financially unstable.
The course ambayo ume-stick nayo kwa muda mrefu haijakupa matokeo yoyote, sana sana imekuletea changamoto zaidi na kukukosesha opportunities!!
HAPA SASA NDIO MTU ANAFIKIA MAAMUZI YA KUUZA SOUL!!
LIWALO NA LIWE POTELEA PWETE!
Very few of us….ndio tunaweza kushikilia bomba mpaka mwisho!!
No matter how tough the situation is!
Sio rahisi sana, wengi wanashindwa njiani katikati ya safari!
So far tumeshawapoteza wengi katikati ya hii safari….tuwaombee wanaoendelea kushikilia bomba Mungu awape imani na ustahimilivu!
Wasameheni ili kupunguza nguvu ya opposition dhidi yenu na kuongeza nguvu, mpo vitani you need as many upande wenu as possible ila muwaweke back bench kabisa. Yani wawe wanapika chai au kufagia ofisi ila msiwape nafasi yoyote ya kuwa watu wa muhimu ndani ya chama.
Yani fanyeni kama chama cha mauaji (CCM) kilivyofanya baada ya uchaguzi wa 2015. Walisamehewa wasaliti wakarudi kwenye chama ila wakatupwa back bench huko.
I think only 1 person deserves forgiveness ya Chadema na kurudi kwenye nafasi ya uongozi iwapo ataomba msamaha vizuri, huyu ameonyesha regret kwa kutokutafuta nafasi kwenye chama cha mauaji 2025. I think wote tunamjua, Ila wengine wakirudi warudi kufagia ofisi hata huku online hatutaki kuwasikia.
ONCE A TRAITOR, ALWAYS A TRAITOR.
Waliondoka kwa mbwembwe nyingi wakakitukana sana Chama pamoja na Viongozi wetu matusi ya kila aina.
Wengine wakaenda mbali zaidi wakaanza kusema #NoReformsNoElection ni uhaini, wakawa wanasema wanashangaa inakuaje Serikali haimkamati Mhe. Lissu wakati anahamasisha UHAINI hata haikuchukua muda Mhe. Lissu akakamatwa na kupewa kesi ya Uwongo mpaka leo ni zaidi ya Mwaka mmoja yupo jela.
Walisema CHADEMA imepoteza mwelekeo mara sijui CHADEMA ishajifia bora waende huko wakatimize ndoto zao kisa waliambia watapewa majimbo 20 na Viti maalum 25.
Mungu alivofundi walikula kofi la uso wakaangukia pua sasa baada ya kukosa Ubunge kama walivoahidiwa leo wanajifanya wameweka mikono nyuma, wanaomba kurudi kwenye CHAMA as if sio wao waliokua wanatukana mitusi na kudhalilisha Viongozi wetu.
Hawa watu sio wakuwachekea maana msaliti ni msaliti, kama waliweza kutusaliti jana unadhan nini ambacho kitamzua kutusaliti leo/kesho..?
Hakuna kitu hatari kama kuwa Surrounded na watu ambao hawakwambia ukweli, haswa pale njia zako zinapokua sio sahihi.
Hii ni kuanzia personal level.
Ukweli ni mchungu sana, ila ni bonge la Tiba.
@Roma_Mkatoliki 3. Mkoa wa Mtwara
Gesi asilia nyingi sana
Korosho nyingi (zaidi ya 60% ya korosho za Tanzania hutoka kusini)
Uvuvi wa bahari �
https://t.co/0Up3nqSzJ2
👉 Huu ni mkoa tajiri kwa gesi na kilimo cha biashara.