Ah safari ya kwenda mjini sharti upigwe na upepo mzuri huku ukiangalia mandhari ya mji. Je, wewe unapenda usafiri gani unapokwenda mjini? #twendemjininampesa
Tafuta kibanda nunua tikiti maji 5 kwa 15,000, kata vipande vidogovidogo weka mezani uza una uwezo wa kupata faida ya 10,000 kwa sikuโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธ.
NB; Kauli nzuri kwa wateja na usafi vitakufanya maarufu๐คฉ๐คฉ๐คฉ๐คฉ
Wateja wengi wanakera sana kwa kauli zao, jifunze kutumia busara za kesho kutatua tatizo
Ukiwanunia au kuwajibu vibaya haisaidii. Jifunze kucontrol hisia zako
๐คช๐คช๐คช๐คช๐คช๐คช๐คช๐คช