@MkulimaKante Toka nianze hata wiki 3 sina,,nilianza kulipwa ktk video ya 3 tu tena nikiwa na 1.8k followers,,video ilipata 56k views wakanilipa 0.08$ kwa ufupi hizi sio pesa mwanangu ...ngoja tuendelee na kilimo
Wanangu naombeni mnitoe matongo tongo huenda tunapishana na utajiri kwa kukosa maarifa tu hivi zile lifestyle content za wadau kule insta zinalipa.
Namaanisha insta wanalipa kutokana na wale views unaopata maana zimeongezeka sana kwa sasa which means watakuwa wanalipwa na META.
Anayejua atupe A, B, C huenda ni fursa ya bure kabisa๐๐พ๐๐พ๐๐พ