@HildaNewton21 Kiukweli nimesoma pharmacy na nikasoma sheria za kuusu maswala mazima ya pharmacy but nimteseka sana kwenye hilo somo na nimegundua kuerewa sheria N KIPAJI HUYU LISSU SIZANI KAMA N BINADAMU WA KAWAIDA HUYU RESPECT KWAKO MZWE๐๐ซก
@zed_officially Nilichogundua wale wote wanaojioma magwij hawez kuumizwa na mapenz mamaeee ndo wanaoliaga na kumlilia mwanamke kama mbwa ila malegendary huwa wako simple text ukimya tyu tosha mzee
@Baradhuli2 Sasa unamuhukumu vip mtu hata mkuu wa idara la upererezi hana taarifa,, IGP hana taarifa zozote na CDF hana taarifa zozote jamaa alicho kitaka ni ich ndo maana aliwaita
@EduTalkTz Iko iv hapo kabla ya kuwa na mwanasiasa kulikuwa na mwanaharakati huyu mtu n hatar sana haise na hawa ndo wachache walikaa na kujadili wakatuletea mwanasiasa kwahyo naamini kabsa waligeukana hawa watu na ndo maana kuna muda wanakuwa sawa na kunamuda hawezi kuwa sawa.
@HildaNewton21 Katuga: Ulisema kesi hii ni mwendelezo wa serikali kubambikiza kesi?
Mnyika: Ndio kupitia jeshi la polisi lenye wajibu wa kulinda raia na mali zake. Lakini sio kubambikizia watu kesi.
Ifikie mahala yaishe Mungu anatupenda wote na kwake tutarudi tukiwa hatuna chochote mfukon