@Thommunkondya Kinacholeta migogoro ni ufisadi wa viongozi wa government huku raia wa kawaida wakiwa na maisha magumu. Amani inayoimbwa na hao viongozi maana yake ni “mtuacha tule kwa amani”. Muulizie kwa Makonda jikoni ni wapi
@Thommunkondya Umenukuu kifungu gani cha katiba au sheria? Au ndo mchezo wa kufikiria tu na kuandika. Nafikiri ni kwanini Raisi akitangaza hali ya hatari anatakiwa kupeleka bungeni ili iidhinishwe within 14 days?
@Thommunkondya Ukitumia akili kidogo tu unaweza kujiuliza, utasafirisha watu waje kuchangia Tone Tone? Ndo maana miaka 65 ya uhuru hii ndo Tanzania tuliyonayo. Imagine wewe ni mmoja wa brilliant mind za UVCCM
@Baradhuli2@MariaSTsehai Can’t you even understand what is written? Wanasema “Dialogue with opposition leaders” zianze zikisimamiwa na “third party” ili ku discuss “ reconciliation efforts”. Ina maana Dialogue sio reconciliation, ila itasaidia ku discuss reconciliation efforts zifanyike namna gani
Serikali ikijiweka madarakani kwa nguvu bila ridhaa ya wananchi, inaweza kutumia miaka yote 5 kwa kutolea ufafanuzi mambo ya kijinga iliyofanya. Kuiba uchaguzi ni mbaya zaidi ya mapinduzi ya kijeshi, maana mapinduzi ya kijeshi hayahitaji ufafanuzi. Wizi wa kura unahitaji ufafanuzi ili kujifanya kuna demokrasia. Anayefaidika ni Kombo, first class flight kila siku kwenda “kufafanua”.
Kama ‘taswira ya taifa letu’ ni mwizi wa kura, basi wizi ni halali katika taifa letu. Kama ‘taswira ya taifa letu’ anaongea “Nywinywi na nywanywanywa” basi sisi kama taifa tunaruhusiwa kuiga mfano wa kuzalisha maneno, Kama “Taswira ya Taifa letu” inasema “Katiba ni kijitabu tu”….na sisi hakuna haja ya kukiona cha maana. Taswira ikiwa mbovu, kila kitu kitakuwa kibovu.
@RashdaZunde Kuna waathirika wengi walifika mbele ya tume ya Chande kuelezea hayo, vipi ni wangapi walifika kuonyesha vidole walivyo katwa? Je tume ya Chande imesema ni wangapi walikatwa vidole? Au Chande naye ni mwanaharakati wa Maria
@Aduiwayanga Wanapita kufanya utafiti field ili kuwaelezea watanzania wanaishi hapo “field” waliokoswa loses na hizo risasi, wanaojua nini kilitokea kwa kuwa walikuwepo. Nani atawaaikiliza?
@EsirEid Lakini hata ndani ya Arsenal kuna votes za mchezaji bora wa msimu, so huyo mashabaki mvote kuwa mchezaji bora wa ndani, kama yumo kwa hao then mpeni huyo huyo