Nidhamu ya Wajapani ni ya kipekee sana.
Wakati wa sherehe, mamia ya mashabiki walikusanyika katikati ya Barabara yenye shughuli nyingi za magari huku taa za barabarani zikiwa nyekundu. Waliimba, walishangilia na kufurahia wakati huo pamoja kwa furaha kubwa.
Lakini mara tu taa zilipobadilika na kuwa za kijani, waliondoka kwa utulivu na kuacha njia wazi, wakiruhusu magari kupita bila usumbufu wowote.
Ni tukio dogo tu, lakini linaonyesha kwa namna ya pekee heshima, utaratibu na nidhamu ambayo Japan imekuwa ikijulikana nayo duniani kote.
Kamati Maalum imepokea taarifa kutoka Kanda ya Pemba kuhusu hatua ya kumvua uanachama Ndugu Said Issa Mohamed. Baada ya kupitia taarifa, vielelezo na taratibu zote zilizotumika, Kamati Maalum imeridhika kuwa hatua zilizochukuliwa zilizingatia Katiba, Kanuni na taratibu za chama.
"Nimemsikia mtoto mmoja wa shule hapo hajui hata wajibu wa Mbunge, anasema John Heche amesoma shule ya Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Bulima, ni kweli nimesoma shule ya Bulima lakini kipindi hicho Bulima haikuwa shule ya Wazazi, ilikuwa shule ya bodi ya Pamba, CCM ndio wameipora sasa hivi na kuwa ya wazazi. Tukishinda nchi hii vitu hivi vyote tutavirudisha serikalini siku hiyo hiyo ikiwemo Ofisi wanazozikalia. Wataenda kupanga mtaani huko.
"Mimi sijasoma shule ya CCM mimi, ningeacha shule haki ya Mungu. Hii akili yangu mnavyosikia ningeweza kusoma shule ya CCM?."- Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA akizungumza na wanafunzi wa Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa leo Juni 13, 2026.
VIDEO:
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA) Mbeya David Mwambigija amemshauri Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche kuacha kujibu/ kujibizana na baadhi ya viongozi wa CCM kama vile Kenan Kihongosi (Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Taifa) na Ally Hapi (Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi), kutokana na kile alichoeleza kuwa yeye (Heche) ni 'Superstar' mbele ya viongozi hao
Mzee Mwambigija ametoa ushauri wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho unaoendelea sasa Iringa Mjini ambapo mgeni rasmi katika mkutano huo ni Heche.
Wananchi wanaendelea kudai haki kupitia chama kikuu cha siasa Tanzania.
Seriously, CCM kupata crowd kama hii ni lazma mabasi yawe prmbeni hapo na pesa za ziwepo za kulipa watu waende ila Chadema, wananchi wanaenda kwa nguvu zao wenyewe na pesa wanatoa…
CCM sio chama kikuu tena Tanzania, ukifanyika uchaguzi leo hii CCM ikipata wabunge 10 kwenye majimbo itakuwa maajabu, kwenye urais ndio kabisa. CCM inawekwa madarakani na vyombo vya usalama na mahakama. CCM wao kama wao hawana nguvu ya umma anymore, walichonacho CCM kwa sasa ni SILAHA za kuwasaidia kushikili nchi kinguvu. Na historia ya dunia inatuonyesha kuwa utawala wa hivi huwa una mwisho mbaya na wananchi huwa wanashinda mwisho wa siku.
Alizaliwa Ufaransa mwaka 2007, akapata nafasi ya kuichezea timu ya Lille ya ligi kuu ya Ufaransa na ameweka rekodi nyingi. Morocco ikamuomba achezee nchi ya asili ya wazazi wake, FIFA ikampa kibali mwezi uliopita tu. Leo Ayyoub Bouaddi mwenye miaka 18, amewatesa sana Brazil.
¡Antes de que lo borren!
Me enviaron esta hoja esta mañana. Según la persona que me la pasó, contiene los resultados de los primeros 24 partidos del Mundial. Pues juzguen ustedes.
Winga wa Brazil, Vinicius Junior amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo wa Kundi C wa kombe la Dunia la FIFA 2026 kati ya Brazil 'Samba Boys' dhidi ya Simba wa Atlas, Morocco katika dimba la MetLife, New Jersey, Marekani.
FT: Brazil 🇧🇷 1-1 🇲🇦 Morocco
⚽ 32' Vinicius Junior
⚽ 21' Ismael Saibari
✍️ Nani alikuwa nyota wako wa mchezo?
#KitengeSports
Cc @IntlCrimCourt
This goon Clemence Mwandambo is a man who got fame for appearing to back peaceful protests in October 2025 and later the family claimed he was abducted. Since his release, he has changed and now is openly threatening with gun and violence peaceful protestors on 7/7
He is now a proxy of Abdul Ameir - and they are planning a new massacre!
Kindly note and keep him on record for further action during the trial! Cc @SenateForeign@SFRCdems@US_SrAdvisorAF@StateDRL@UN_HRC@WorldBankAfrica@IMFAfrica
Kama ni upumbavu basi ni hii! Mwandambo ameji-incriminate na atakuja kuwa shahidi au mshtakiwa! Asifikiri ni sifa kutisha watu na bastola ya Abduli?! Tunajua ametumwa na Abduli kuleta gumzo - he is just pathetic!
Kesho yakimpata asilalamike eti alilazimishwa - kajitakia mwenyewe
Acheni vitisho 🚮 mnatia watu hasira - mnafikiri ninyi mtaishi milele!
Tusiogope wapendwa! Tumeshashinda hawa wamepagawa
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Chadema wana haki ya kikatiba ya kuitisha na kufanya maandamano.
I hope Chadema hamtotishika na vitisho vya wauwaji mkaacha kuunga mkono maandamano ya July 7. Haya maandmano yanahitaji kiongozi.
CCM maandamano ya kudai haki kwao ni vurugu ila kutoa haki hawataki. CCM ndio chanzo cha matatizo yote Tanzania
#TANZANIA: HECHE AWASIHI VIJANA VYUONI KUTOKUWA WAOGA KWENYE KUDAI MABADILIKO
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Juni 13, 2026 akiongea na wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Iringa amesema vijana wa vyuo vikuu wasiogope vitisho vyovyote katika kudai mabadiliko katika nchi yao ili kuweka mazingira mazuri kwa maendeleo yao na nchi yao.
Aidha, Heche amesema kwa sasa kunajitihada kubwa kutoka kwa watawala za kutaka kuwatisha vijana wasidai mabadiliko hasa vijana wa vyuo vikuu na kwa kuanza wameanza na Mwenyekiti wa CHASO kwa kumkamata na kumpa kesi ya uongo.
Zaidi: https://t.co/epi6FSwW4g
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mch. Peter Saimon Msigwa amewataka Askari polisi Nchini kuusikiliza wimbo wa Soldier wa Lucky Dube, akisisitiza kuwa amri "kutoka Juu" sio ridhaa ya kuhalalisha kudhalilisha utu wa Mtanzania.
Msigwa ameyasema hayo jana Juni 13, 2026 Mjini Iringa katika Viwanja vya Mwembetogwa Mkoani Iringa, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, akiwataka pia Polisi waliohusika na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia mnamo Oktoba 29, 2025 kutoka hadharani na kuomba radhi.
"Hatia haina kaburi, hatia huwezi kuizika. Amri kutoka juu haikufanyi udhalilishe utu wa mtu. Mkasikilize wimbo wa Lucky Dube unaitwa Soldier. Historia inaonesha watu walioua watu wakati wa vita enzi za Hitler wakati wa uzee wao walitoka hadharani kutokana na kukosa usingizi, kila usiku walikuwa wanashindwa kulala kwasababu ya sauti ambazo walikuwa wakizisikia." Amesema Msigwa.
Mch. Msigwa katika hatua nyingine akisisitiza umuhimu wa Askari Polisi hao kutubu na namna ambavyo Mungu hataki damu za watu wasiokuwa na hatia kumwagika, amewataka Polisi pia kujiepusha na kufuata amri zisizo halali kutoka kwa mamlaka zao za uteuzi, akibainisha kuwa gharama za damu hizo zitalipwa hapa hapa duniani.
Sasa ni saa tano na nusu Usiku, Makam Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn anaendelea na Kikao na Viongozi na Wanachama Mkoa wa Iringa.
Hakuna kulala mpaka kieleweke.💪