Honored to launch the Tanzania NextGen Leaders Fellowship – Cohort 1 today 🎉. 100 young leaders from 26 regions begin their journey of leadership, mentorship & sectoral exposure. The future is bright! 🌍
Thanks @IrlEmbTanzania for support!
✨ #TNLF2025#NextGenLeaders
#Fahamu: Kuna watu waliowahi kukumbwa na hatari kuu kiasi cha kuonekana kama mwisho wa safari yao ya maisha, lakini kwa namna ya ajabu waliendelea kuvuta pumzi hawa ni baadhi kati ya hao:
With the generous support of @UNDPAfrica I'm privileged to represent @ALII_Africa in the Continental Youth Consultation towards the 13th High-Level Dialogue on #Democracy, #Governance and #HumanRights in Ghana.
I'm glad to share my views on engaging youth in decision making.
🔰IJUE ILANI
Ilani ya CCM 2025-2030 Sura ya Pili ukurasa wa 29 imeahidi Kujenga Reli na Treni za Mijini (Metro) Katika Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma Lengo ikiwa ni Kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri kwa wakazi wa mijini.
#kazinaututunasongambele
#oktobatunatiki✅✅
🇷🇺 On September 17-21, the World Youth Festival Assembly will be held in Nizhny Novgorod.
🤝 It is expected to host 1000 foreign participants aged 14-35.
✏️ Detailed info on the event is available here: https://t.co/CUggXvTxBv
❗️The deadline for application is July 20.
Kama kuna stori huwa zina pinda pinda basi ni za huyu jamaa.
Ngw'anamalundi alikuwa anaenda shambani asubuhi kulima harafu jioni anaenda kuvuna.
Achana na kukanyaga jiwe mpaka kuacha alama za vidole hiyo ni stori ya kawaida kumuhusu.
Wakati wengine wanapata ya mvua yeye mvua ilikuwa inanyesha kwenye shamba lake.
Stori kama hizi kuhusu mwamba huyu huwezi sikia popote ila acha kikusogezee.
Uzi 🧵⤵️
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2025.
🇹🇿🇳🇦
Hebu fikiria.
Unasafiri peke yako katikati ya Jangwa la Sahara, Morocco.
Gari lako linagonga jiwe kubwa, linaharibika vibaya.
Uko umbali wa zaidi ya kilomita 30 mpaka 50 kutoka mji wa karibu.
Hiii ilikuwa ni mwaka 1993 — hakuna simu ya mkononi, hakuna GPS, hakuna msaada unaokuja.
Hivi ndivyo Emile Leray alivyopambana na kifo.
Thread 🧵