Nikiwa mdogo mathe aliwai nipeleka out, sa tukiwa on the way tukienda, certain dude approached her, this guy alikua na rizz ingine noma which got my mum smiling, ilibidi niambie hiyo ninja mama yangu ameolewa na bwana yake ni polisi, ilikua karibu buda arudishwe soko bana
Ameniuliza nitambaia nini hiyo girlfriends day nikamsho “Mbappe Special” akasema “I can't wait to see that fr that's why I love you”.
Majamaa msinigongee huyu tafadhali nitawalipa😁