Mtoto wa dada angu anasoma shule ya sec Mbagala, mama yake anadai wanadaiwa pesa ya mchango wa matofali, kila mtoto anatakiwa atoe pesa ya matofali 10, na hiyo pesa anapokea mwalimu, No control number (shule ni ya serikali) hili swala limekaaje!!
NIMEMSIKILIZA MSAMI MSANII NA DANCER WA BONGO FLEVA . ASIPUUZWE USHURI WAKE MZURI SANA . ASIPUUZWE KAMA YANAYO SIKIKA NI KWELI MIMI BINAFSI NAANZA KUFANYIA KAZI KAMA MDAU WA MPENDA UZALENDO
Umaarufu Tz shida sana, kila mtu amekuwa makuzi, comedy nyingi… inafika wakati mpaka viongozi nao wanaingia kwenye hayo makuzi ya hapo town😁😁. Yani watu kama wako shule, Viranja wapo , walimu wapo, Mambulula wa shule wapo yani VITUKO SHOW KKMAK..🤣🤣
So we ask🫵
Who is the killer?
Why are we the ones dying?
Who will rise as a savior?
Who will take responsibility?
And above all…
Do we still care about our people?
📌Politics once served the people. Now they serve profit. Life gets harder, and the battlefield isn’t for justice, it’s for money. Humanity is no longer the cause. “Msami”
Yanga si kubwa kuliko TFF, Yanga ni kubwa kuliko mtu mmoja mmoja TFF, Yanga inaheshimu mifumo na kanuni ndio maana inafata kila taratibu kutimiza wajibu kikanuni. TFF ni gari inayoendeshwa na dereva (L) gari ina kila kinachoweza kufanya safari iwe salama lakini dereva sasa ni (L)
Vijana kuweni makini sana, mnajizima data sana, me nawaonea huruma vijana ambao ni wapya kwenye industry kuna mambo mengi, ukijichanganya kuna siku utalia peke yako na hutaacha kujuta maisha yako, kuna njia mnapita zina miba watu hawasemi, pigeni story vizuri na wakubwa👀
@giovannmsami 👉 Unamka saa 5, unashika simu unapitia page za udaku, una screenshot memes, unarudi kulala unamka tena saa 10, unapigia wana mnakutana mnakunywa K vant kubwa 5, mpaka saa 10 usiku unarudi kulala, na kesho tena🔂.
[HUTAKA UACHE KUITA WATU, BOSS, MKUBWA, KAKA ..NK]
@giovannmsami 👉 “A” hana pesa lakini anapendwa, anapewa penzi bure.
“B” ana pesa anamla manzi wa “A” Kwa sababu ya pesa lakini mapenzi ya manzi yapo Kwa “A”
Manzi anachukua pesa Kwa “B” anatumia na “A”
A na B wote wanapigwa game bila kujua
Kati ya A na B nani bwege/Jinga?
@giovannmsami 👉👉Saga hayo Kisha chemsha, chuja vizuri Kisha
utakuwa unakunywa Mara Tatu kwa siku, yaani asubuhi mchana na jioni kwa muda wa mwezi mzima... Ni dawa ya kupata kiwanja