Kuna huns fulani alikuwa a solid 1/10 na alikuwa amenimark mbaya sana ile design hadi kuna day alikuja kwangu through a friend in the name of anataka kudeliver kitu. Yaani alikuja kwangu in the evening masaa hawezi rudi huko KM juu kunakuaga risky ndio alale.....