Trauma ya poverty.
Huko west pokot we used to walk from kanyarkwat to Talau (this is like mosagashe to elwak or something 😅😭)
So sahii tumekuja Nairobi tunaskia mnaenda kutembea 30km willingly tunaona ni weird 😂. It’s like camping when you’ve been homeless before 😭
Seems the guy ameamua kuchukua dooh ya gava kabisa sasa without kuficha.
Omtatah, Maraga na Sifuna are all clean. Why is the govt fighting them? Ask yourself that question.
Mutahi nguruwe, naona akili imegwama kabisa, allow me nikuingise class yetu kidogo sababu naona iko mahali hatuelewani kabisaa.
Numero uno, tulisema whenever you're addressing Sifuna always use plural sababu Sifuna apana mtu mmoja. Na sasa ukishafanya hivyo ndo utajua huezi ongelesha watu 18 mirrion strong vile unataka.
Numero mbwekse, tulisema ukikua na advice msuri kama hii na hauko ushago, unachukua simu unapigia nyanya yako jomba, sio sisi.
Numero utat, hakuna mahali tumesema Sifuna is needed by Ruto. Sisi ndio tuliendea yeye, sisi ndio tunamuhitaji, tell Kasongo to need kina Farouk na Cherargei.
Numero cuatro, na hapa ndio nataka unishike msuri, wazee wenzako wanacheza golf, wanaenda world summits and big business meetings lakini wewe uko hapa unataka kubishana na watu wanatoshana na wajukuu wako. Get out and touch some grass sababu tumesema hii mwaka all Atwolis are going home.
Sasa meanwhile geukia jirani yako hapo umwambie WANTAM na jina usimuulize anajiita Sifuna na ujue HE EDWIN WAKENYA SIXTHFUNA SHALL BE THE 6TH PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA, whether you ndikni or kendni.
We need to vote this man and his cronies out in 2027. Our country's immediate and long term future is at stake and we only have one country to call ours...not theirs alone.
Si mnaona Dose inapenya kupenya. It remains a fact you are an Old Fossil hapa x. It's time SODF downs your tools for good! We are retiring you together with the KANU orphans. Hapana chesaa
The Presidency, Cabinet, PSs and government apparatus were mobilized to Western Kenya, wasting hundreds of millions of taxpayers’ money to launch a hole.
Is Ruto really normal?