@KTNNewsKE@Hassanjumaa@BahajjAhmed Natizama #ZilizalaViwanjani kutoka maeneo ya Nkubu-Meru.
Kwa maoni yangu bila uwepo wa mashabiki uwanjani huweza kuadhiri wachezaji kwa maana hakuna ule motisha wa kuwa ma mashabiki.. Kifute cha leo nawatakia Dortmund ushindi