๐จ Florentino Pรฉrez: โKylian Mbappรฉ, Jude Bellingham and Vini Jr. will STAY at Real Madridโ.
โThey are players that every big club in the world would wantโ.
VIDEO:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa rasmi na Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin, Ikulu ya Kremlin jijini Moscow, tarehe 3 Juni, 2026 kuashiria kuanza rasmi ziara yake siku tatu nchini humo.
๐จ๐จ๐ฃ๏ธ Vitinha: โWhen Messi left PSG for Inter Miami, he said, โYouโll never win the UCL.โ Here we are today with back-to-back UCL trophies. I hope heโs watching.โ
#HABARI Bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia imeendelea kushuka ambapo leo Mei 30 imefikia dola 87.3 kwa pipa, ikilinganishwa na zaidi ya dola 112.9 zilizorekodiwa Aprili 7 mwaka huu.
Hii ni sawa na kushuka kwa takribani asilimia 22.7% ndani ya kipindi hicho, ikiwa ni mabadiliko makubwa katika soko la nishati duniani.
Hata hivyo, mabadiliko haya ya kushuka kwa bei ya mafuta ghafi yanaendelea kufuatiliwa kwa karibu nchini Tanzania, ambapo matarajio ni kuwa bei za rejareja zinaweza kuanza kushuka kwa hatua taratibu kutokana na mzunguko wa gharama za usafirishaji, bima na tozo mbalimbali kabla ya kufikia mlaji wa mwisho.
Serikali na wadau wa sekta ya mafuta wanatarajia kuwa iwapo mwenendo huu utaendelea, basi kuna uwezekano wa kupungua kwa shinikizo la gharama za nishati nchini katika wiki na miezi ijayo.
CC: Al-Jazeera
#EastAfricaRadio
๐จ๐ฃ Andoni Iraola, set to become the next Liverpool manager as revealed earlier today!
The negotiations will move forward quickly to get it done with formal steps but #LFC decision madeโฆ
โฆIraola will be the next manager. ๐๐
๐จ๐๐๐๐๐๐
Ile Safari Ndefu ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA) Kwa Mwaka 2025/26 inaenda Kutamatika Usiku wa Leo..!
Unaona Nani Akibeba Ubingwa Kati ya PSG na Arsenal?
#MeaMswahiliUPDATES
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba Kabudi, amesema mwaka 2025, jumla ya tani 1,074.72 za dawa za kulevya zilikamatwa katika operesheni zilizofanyika katika maeneo mbalimbali Nchini, dawa hizo zinajumuisha bangi tani 1,014.06, mirungi tani 26.36, skanka tani 3.20, kratom tani 29.52, heroin kilogramu 672.23 na cocaine kilogramu 4.89.
Akizungumza Jijini Dodoma leo May 29, 2026 wakati akitoa taarifa ya hali ya dawa za kulevya ya mwaka 2025 iliyoandaliwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Prof. Palamagamba Kabudi amesema โmapambano dhidi ya dawa za kulevya yaliendelea kuimarika Nchini kwa mwaka 2025, hii ni kutokana na uwezeshaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya awamu ya sita kwa kuimarisha utekelezaji wa mikakati ya Kitaifa ya kupambana na dawa za
kulevya inayolenga kupunguza upatikanaji wa dawa za kulevya, kupunguza uhitaji wa dawa za kulevya, kupunguza madhara ya dawa za kulevya na kuimarisha
ushirikiano wa kitaifa, kikanda na kimataifaโ
โMwaka 2025, jumla ya tani 1,074.72 za dawa za kulevya zilikamatwa katika operesheni zilizofanyika katika maeneo mbalimbali Nchini, dawa hizo zinajumuisha bangi tani 1,014.06, mirungi tani 26.36, skanka tani 3.20, kratom tani 29.52, heroin kilogramu 672.23 cocaine kilogramu 4.89, methamphetamine kilogramu 907.18, MDA gramu 7.82 na MDMA gramu 178, bangi iliendelea kukamatwa kwa wingi, hata hivyo, kiasi kilichokamatwa kilipungua kwa asilimia 55.97 ikilinganishwa na mwaka 2024โ
โKiasi hiki kiliongezeka kwa asilimia 42.88 ikilinganishwa na mwaka 2024, ongezeko hili linaashiria kuimarika kwa operesheni za ufuatiliaji na udhibiti hususan katika maeneo ya mipaka na njia zinazotumika kusafirisha dawa hizoโ
#MillardAyoUPDATES
๐จ๐๐๐๐๐๐
Nyota wa Zamani wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki amesema yeye kurudi Yanga tuseme Inshaallah!
Je Kwa Unavyoona Yanga kumrudisha Aziz Ki itakua big deal au itakua pata potea kwa timu ya sasa ilivyo..?!๐
#MeaMswahiliTRENDING
Ni Party la Machampions linalowakutanisha Mashabiki wa Arsenal katika Viwanja vya Posta (Kijitonyama) Jijini Dar es salaam, siku ya Jumamosi Mei 30, 2026.
Mashabiki wa โWashika Bundukiโ hao wanakaribishwa kujumuika pamoja bure bila kiingilio huku Supu ya Mbuzi ikiwepo kwa sharti moja tu, uwe umevaa jezi ya Arsenal.
Party la Machampion litasindikizwa na burudani kutoka wasanii mbalimbali wakiwemo Madee, Fid Q, Dully Sykes na Mbosso.
Shughuli hiyo inakuja kufuatia Arsenal kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England, ikiwa ni mafanikio yao ya kwanza baada ya miaka 22.
#MillardAyoUPDATE
๐จ UPDATE:
Kiungo wa Al Ahly ๐ช๐ฌ Aliou Dieng ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka anayecheza ndani ya bara la Afrika kwenye tuzo za Mali Football Awards ๐ฒ๐ฑ
Dieng amewashinda Djigui Diarra (Yanga ๐น๐ฟ), Yoro Diaby (Azam Fc ๐น๐ฟ) na Aboubacar Diakite (Espรฉrance ๐น๐ณ)
๐๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ OFFICIAL: The Ballon dโOr ceremony will take place in London this year.
Save the date: October 26th, 2026. ๐๏ธ
Whoโs gonna win it? ๐ซต๐ผ๐
๐จ UPDATE:
Golikipa wa Young Africans ๐น๐ฟ, Djigui Diarra ๐ฒ๐ฑ ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Mali kwaajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Iran ๐ฎ๐ท inayojiandaa na World Cup 2026
Mechi itapigwa Juni 4 Uturuki.
Mali wataanza maandalizi ya mechi hiyo Mei 31.
๐จ UPDATE:
Golikipa wa Simba Sc ๐น๐ฟ Djibrilla Kassali ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Niger ๐ณ๐ช kwaajili ya mechi mbili za kalenda ya FIFA mwezi ujao (Juni)
๐ Mauritania - Juni 5
๐ Botswana - Juni 9
Mechi zote zitapigwa Casablanca, Morocco ๐ฒ๐ฆ
Mabeki wa Taifa Stars ๐น๐ฟ kwaajili ya mechi dhidi ya Uganda ๐บ๐ฌ na Rwanda ๐ท๐ผ mwezi Juni
โ Kibabage - Simba
โ Pascal Msindo - Azam
โ Ibrahim Bacca - Yanga
โ Lameck Lawi - Azam
โ Mwamnyeto - Yanga
โ Vedastus Masinde - Simba
โ Mohamed Mussa - Mashujaa
โ Haji Mnoga - Salford