@hpolepole Naongezea kwenye kauli yako POLEPOLE ulipokwenda kumtoa Mashinji na Msigwa ulikwenda polepole na si kwa mbwembwe ,vifijo na vurugu kama walizotaka kuzifanya wao.Aliyetakiwa kwenda kumpokea Mbowe ni mke wake na familia yake.Wengine mlifuata nini?
@darmpya_@esteramosbulaya Familia ya Mbowe akiwemo mke wake hawakwenda ,wewe ulikwenda kufanya nini? Acha upigwe tu ili ukome kiherehere chako.Hongera Jeshi la Magereza kwa kuthibiti vurugu za Chadema hapo gerezani. Muda wa kuosha magari maeneo ya Majeshi yetu sio awamu hii.
@MnaaZawadi Ana dharau sana huyu Membe baada ya kuhojiwa kule Dodoma alisema anakwenda kula chakula kitamu sana kwenye hoteli moja maarufu hapo Dodoma.Akiendesha Range rover kwa jeuri kubwa sasa huo ndo mwisho wa jeuri yake .Jeuri ya kodi zetu imemfikisha pabaya.
@Hakingowi@hpolepole Kamati Kuu ya Halmashauri ya Taifa ya CCM naipongeza kwa moyo wa dhati kwa kumfukuza Uanachama wa CCM Benard Membe kwani alikuwa anafikiri anaogopwa na CCM kwani alikuwa akijigamba siku nyingi sana kama yeye ni mtu mashuhuri.Pongezi hizi ziwandee wajumbe wote wa (CC)
Nimeshitushwa na taarifa ya Mkuu wa Wilaya huko Kilimanjaro ya kuwa matajiri wa mabasi wanahujumu miundo mbinu ya reli.Kitendo hiki ni kutaka kufifisha juhudi ya Rais wetu mpendwa Magufuli za kutuletea maendeleo na zinatakiwa kupingwa kwa nguvu zote ,na ni Uhujumu Uchumi.
@membe_bernard Huna jipya wewe Membe tulia jembe letu liendelee kulima mashamba makubwa makubwa ili Watanzania tufike pale alipolenga kutufikisha.Magufuli oyeee 2020 tunampa kura zote.
@LeoCivilian Assad hakutekwa alikuwa katika mambo yake binafsi kina Zitto ni wachochezi wana mambo yao,lakini katika Serikali hii ya Magufuli wanajichosha tu Watanzania tulishawashitukia.
@TheRealEkiswaga @CyprianMusiba4 @MagufuliJP Una uhakika gani katekwa? Kila kitu ni kutekwa tu? Hata kama mtu kaitwa Polisi au kakamatwa ugoni unasema katekwa na hasa watu wanaoichafua Serikali wasipoonekana hata kama wameenda nyumba ndogo inaonekana wametekwa.Watanzania tuwe na uzalendo wa kuisemea Nchi yetu vizuri.