Hizi siku tatu ukienda Kariakoo hata sehemu ya kukanyaga unakosa, watu ni wengi sana chaajabu anaenunua ni mmoja ila kasindikizwa na team ya watu kumi.😁
Tv Haina kipengele hata kimoja ndugu zangu, unatumiwa popote ndani ya Tanzania 🇹🇿 🙌 karibuni sana
Brand: ALITOP
INCH 42
SMART TV
BEI: LAKI 4
0615766785
Mambo ya kugeza majina ya kizungu kwa mikumbo ni miyeyusho sana. Fikiria miaka ya 2080 na kuendelea, Tanzania kutakuwa na akina Mzee Junior, Mzee Prince, Mzee Gian, Mzee Brian, Mzee Jayden na akina bibi wanaoitwa Precious, Brianna, Bianca, Trinity!