Baada ya kupitia zaidi ya 70+ success stories za watu waliofanikiwa, kuna mambo 15 yamejirudia tena na tena… na haya yameanza kubadilisha maisha yangu.
Thread/Uzi🧵⤵️
2. Kuruhusu hofu yangu iwe na nguvu kuliko imani na uwezo wangu.
Kulikuwa na muda niliona fursa lakini hofu ilikuwa inanizidi sauti. Nilikuwa najua ninaweza kufanya kitu nikatoboa lakini bado naogopa kuanza. Na hofu ikipata nafasi inakubeba bila huruma.
Nilijipa siku 30 za kubadilisha maisha yangu.
Sikuwa na visingizio nilikuwa na action tu.
Nikagundua watu wengi hawashindwi kwa kukosa mbinu bali kwa kutofanya wanachojua.
Ukianza leo, ifikapo Juni 6 utakuwa mtu tofauti.
Mambo 15 yaliyonibadilisha kuwa mtu bora:
Thread🧵⤵️
Tabia Yako Ni Matokeo ya
“Repetitive Action”,
Tendo Moja Huanza Taratibu,
Either Kwa Kujua Ama Kwa Kutokujua,
Ukishaanza, 👇🏻
↳ Ukafanya Mara 3 na Kuendelea.
Unakuwa Ume-Reprogram AKILI
Na Usipofanya…
Akili Ina Mtindo Wa Kukusumbua,
Mpaka Ufanye.
Break the Partten or
The Parten will Break You.
…
FRANCIS | ABRACADABRA
🤳🏻 TABIA YA 4
Tabia Ya Kutumia Muda
Mwingi Kwenye Simu Bila Kujua
Kila Kitu Huanza Kwa Kitu Kidogo Sana.
Unasema Tu:
"Ngoja Niangalie Simu Dakika 5."
Unafungua Simu.
- Unaangalia Notification Moja.
- Halafu Video Moja Inafuata.
- Halafu Post Nyingine.
Dakika 5 Zinageuka Kuwa Dakika 20 🤔.
Dakika 20 Zinageuka Kuwa Karibu Saa 1.
Ghafla Unagundua Kitu.
Muda Umepita Sana…
Lakini Hujafanya Kitu Cha Maana.
Sasa Unaanza Kuhisi Presha Kidogo.
Unasema:
"Ngoja Nianze Kufanya Kazi Sasa."
Lakini Tayari Akili Yako Imechoka.
Imeshapokea Taarifa
Nyingi Sana Ndani Ya Muda Mfupi.
Na Nguvu Ya Kuanza
Kazi Muhimu Inapungua.
Ukatae Ama Ukubali...
Simu Imekuwa Sehemu Ya Maisha Yetu.
• Tunaamka Nayo.
• Tunasafiri Nayo.
• Tunalala Nayo.
Lakini Polepole Kuna Kitu
Kinatokea Bila Watu Wengi Kugundua.
Simu Inaanza Kuchukua Muda
Ambao Ungeweza Kufanya Mambo Muhimu.
Muda Wa:
- Kujifunza Kitu Kipya
- Kufikiria Mipango Ya Maisha
- Kufanya Kazi Yenye Umakini
Tatizo Si Simu Yenyewe.
Tatizo Ni Jinsi Apps Nyingi Zitengenezwa
Kukuweka Ndani Yake Muda Mrefu Zaidi.
Zinatumia Vitu Kama:
* Video Fupi Zinazobadilika Chap/Haraka
* Notifications Za Mara Kwa Mara
* Content Mpya Kila Sekunde
Kila Kitu Kinatoa Kile
Kinachoitwa Dopamine Hit.
Hisia Ndogo Ya Raha Inayokufanya
Utake Kuendelea Ku-Scroll Zaidi.
Na Bila Kugundua…
Dakika Chache Zinageuka Kuwa Masaa Kila Siku.
Ok.. Baada Ya Kusema Hayo Yote...
Utaniuliza...
"Francis Mimi Nina Tatizo Hili,
Nipe Mbinu Ili Nitoke Kwenye Mtego Huu..."
Usijali... Nipo Hapa Kukutumikia ...
Nakupa Mbinu Kabambe
Ambayo Nimekuwa
Nikiitumia Kwa Miaka Mingi
Na Mbinu Yenyewe Ni
Kwamba Unaweza Kurudisha
Udhibiti Wa Muda Wako.
Kivipi...👇🏻
Anza Na Hatua Ndogo Tu:
↳Usiguse Simu Ndani Ya Dakika 30–60 Baada Ya Kuamka
↳Zima Notifications Zisizo Muhimu
↳Panga Muda Maalum Wa Kutumia Mitandao
Hatua Ndogo Kama Hizi
Zinaweza Kukusaidia
Kurudisha Umakini Wako.
Kwa Sababu Ukweli Ni Huu:
Muda Wako Ni Rasilimali Muhimu Sana.
Na Kadri Unavyojifunza Kuudhibiti…
Ndivyo Maisha Yako
Yanavyoanza Kusonga Mbele.
Lakini Kuna Tabia Nyingine
Moja Ambayo Inawafanya
Watu Wengi Waendelee Kusubiri
Muda Sahihi Kabla Ya
Kuanza Jambo Muhimu.
Na Mara Nyingi Muda Huo *Hauji Kabisa.*
Kesho Nitaielezea.
Kama Umesoma Mapaka Hapa
Like Au Toa Reaction Yoyote
🙏🏽-🔥-👍-💪🏾
Soon... Tukutane Kwenye Tabia Ya 5
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Kama hutaki kuachana na version yako ya zamani,
Huwezi kufika kwenye version yako ya juu.
1. Mwanaume wa kawaida lazima AFE ili azaliwe mwanaume wa thamani
2. Maskini wa mindset lazima AFE ili azaliwe mtu wa abundance
3. Mtu wa hofu lazima AFE ili azaliwe mtu wa confidence
Huwezi kuwa mtu mpya ukiwa bado unaishi
mtu wa zamani.
Before you rise something in you must die.
Mtu anakwambia brother nahisi nimelogwa au nina mikosi.
Sijawahi kupata pesa ikae mara nyingi pesa ninayo kamata huwa inavapor tu hata matumizi ya kueleweka hamna.
Leo nikwambie sasa shida haujalongwa shida ni wewe mwenyewe na sababu ni hizi 👇
Lock In Ndani ya Miezi 6:
• Mrudie Mungu
• Fanya mazoezi
• Jenga nidhamu
• Kula kwa afya
• No porn & punyeto
• No betting
• Epuka soda na energy
• Ishi kwa malengo yako
• Jifunze ujuzi mpya
• Jifunze sanaa ya ushawishi
Jinsi Ya Kujibadilisha Kuwa Bora: 👇🏿
A THREAD🧵
Tangu nimekuwa , na nikagundua kwamba unaweza kufanya Kazi na Usifanikiwe , basi nimejifunza kuomba Neema na Utangulizi wa Mungu katika kila ninachokifanya .
Chukua mda , Tenga masaa machache Zama pale mjini Yutubu , Jifunze kutumia Canva , Capcut na Chatgpt
Fanyia kazi ulichojifunza , hutabaki kama ulivyokuwa mwanetu 👊
Kuna biashara kama 2 hivi nimezifanyia tafiti, zinawapa wajanja pesa nyingi ila zinahitaji wewe ndio uwe unazifanya (uwepo physically) mbali na hapo utakuwa unawanufaisha hao uliowakabidhi biashara yako.
☛Food business
☛Transport business
Kuna stage kwenye maisha inaitwa "Flat"
Unakua upo kwenye mfumo au mtindo wa maisha ule ule for years, with nothing actually going on, no improvement, no real growth, No changes,no career or business devt.
Hii stage ni a very comfortable one, potential nyingi zinafia hapa.