Mkiambiwa wananchi wamechoka upumbavu hamtaki, angalia sasa mpaka โMHESHIMIWA WAZIRIโ anazomewa wazi wazi mbele ya kadamnasi๐๐.
Kukimbia hawezi, kuzuia vyombo vya habari hawezi๐๐๐๐๐๐๐!!
Kazi nzuri WANANCHI, tutafika tu.
Gamondi kabaki kusaini Stars ๐น๐ฟโฝ
Serikali imemuidhinisha Miguel Gamondi kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars baada ya mafanikio yake kwenye AFCON 2025 Morocco, ambako aliifikisha timu hatua ya 16 bora.
Waziri Paul Makonda amesema kilichobaki ni Gamondi kusaini mkataba,
๐ฏ MNAYMA LEO DIMBANI!
Leo ni kazi moja tu ๐ฅ Simba SC anashuka dimbani kuikabili Petro de Luanda pale Estรกdio 11 de Novembro, saa 1:00 usiku โฐ
Hesabu zinaweza kuwa zimeisha, lakini heshima bado ipo mezani. Kinachosakwa leo ni kuonyesha kuwa Simba bado ni GIANT ๐ฆ
๐จ YANGA LEO DIMBANI CAF CL
Yanga leo inashuka dimbani kuikabili AS FAR Rabat katika michuano ya CAF Champions League, mchezo utakaopigwa Uwanja wa Stade Olympique de Rabat โ Morocco, saa 4:00 kamili usiku.
Kila timu inahitaji alama 3 kujiweka salama.
Leo ni kufa au kupona
๐จ GSM AWEKA BIL 1 MEZANI
Taarifa kutoka ndani ya Yanga ni kwamba Bilionea wao Ghalib Said Mohamed โGSMโ ameamua kuweka mzigo mezani wa Sh bilioni moja tu kama watashinda mchezo wa leo dhidi ya AS FAR Rabat.
Kama wakishinda tu basi hamnahamna kila staa ataondoka na hela
๐จ HABARI ZA USAJILI ๐ฟ๐ฒ
Joshua Mutale amekamilisha uhamisho wa mkopo wa miezi sita kutoka Simba SC kwenda klabu ya Aladalah ya Saudi Arabia.
Changamoto mpya nje ya nchi kwa winga wa Zambia. Tunakutakia kila la kheri, Budo ๐ช
#Transfers
๐จ RASMI: Tarehe ya Derby ya Kariakoo imetangazwa!
๐๏ธ Simba ๐ Yanga
๐ Tarehe: 1 March 2026
๐Benjamin Mkapa Stadium
Maswali ni mengi ๐ค
๐ฏ Je, Mnyama atakuwa ameshaamka?
๐ก๐ข Au Wananchi kama kawaida watafanya yao?
Nani anachukua heshima ya Kariakoo derby msimu huu? ๐ฅ
Mambo makubwa yanaibuka Zanzibar ๐๐๏ธ
Taarifa ya Mradi wa Uwanja wa Zanzibar
๐๏ธ Maendeleo ya ujenzi: 30% yamekamilika
๐๏ธ Uwezo wa kuchukua: watazamaji 35,000
๐๏ธ Kiwango cha uwanja: CAF Daraja la 4
๐ Unazingatia kikamilifu viwango vya FIFA
Hesabu mezani! ๐งฎโฝ
Ali Kamwe ameweka wazi mahesabu ya mechi dhidi ya AS FAR Rabat โ ushindi ni njia salama zaidi, lakini hata droo inaweza kutosha kutimiza lengo.
Kila point ni muhimu, kila dakika ni vita. ๐ช๐ฅ
Je, wananchi watavuka salama?
#yangabingwa๐ช๐ช๐ฐ๐ฐ๐
Ali Kamwe bado anaendeleza masimango ๐ ๐ฅ
Baada ya Simba kutolewa kwenye CAF Champions League, Kamwe amewataka wachambuzi wa soka kusema ukweli bila kupindisha maneno โ kwamba Simba ametolewa mazima, hakuna cha kufunika.
Mjadala unaendeleaโฆ je, wachambuzi watasema kweli au
๐ CAF Confederation Cup | Leo Ni Zamu Yetu ๐น๐ฟ
Michuano ya CAF Confederation Cup inaendelea leo,
๐ต Azam FC ๐ Nairobi United
๐ New Amaan Complex
โฐ Saa 1:00 jioni
๐ข Singida Black Stars ๐ AS Otoho
๐ Uwanja wa Alphonse Massamba
โฐ Saa 10:00 jioni
๐ Mungu azidi baraka
SIMBA ๐ฆ๐ฅ
Leo ni kufa au kupona!
Mnyama anashuka Lupaso, akiwakaribisha Esperance de Tunis kwenye CAF Champions League.
๐ Point 3 ni lazima ili kubaki kwenye kundi โ tofauti na hapo safari inakuwa ngumu sana.
Swali ni moja tu:
Je, Mnyama atarudisha heshima ya Lupaso
Yanga wamelazimishwa droo na Al Ahly ๐ช๐ฌ wakiwa nyumbani ๐๏ธ
Pale New Amaan Complex, Wananchi wameambulia pointi 1 kwenye pambano gumu la CAF Champions League ๐ก๐ข
Sasa macho yote yanaelekezwa Morocco February 3 kwa As Far Rabat ๐๐ฅ
#wananchiyanga๐๐