@Abdul69005875@MickyJnr__ Hao yanga wenyewe hawana hizo hela kama wanzo waanze kubakiza kwanza hao wachezaji wao wanaotaka kusepa kwahiari yao wakisha wzuia ndio waanze nahao wanje
@ndembo255 Weachana na tim yetu pambania huko kwenu kutafuta kocha Kwanza ndio uje tuongee hatuongei nawahuni ambao hawana mwalim wanajizururisha mtatueleza nini
@privaldinho Maumivu mabaya hasa pale anapoondoka mtu muhim utatafuta kila namana yakujifariji du poleni utopolo mungu awatie nguvu hiki kipindi kizito mnacho pitia chamaumivu
@anuskills3 Kweli mnajua kunifariji kama huna kibunda chakumbakisha nabi utaweza mlipa huyo mosimane kweli ina maana hao walio mchukua nabi hawakumuona naanatokea huko kwao sauzi ndio maana mkaitwa utopolo du