๐จBREAKING NEWS: Klabu ya Al Quadsiah inayoshiriki ligi ya Saudi Arabia ๐ธ๐ฆ inatajwa katika harakati za usajili wa Fiston Mayele.
Al Quasidah ni timu anayocheza Mtanzania Saimon Msuva
Ikumbukwe Msuva anasimamiwa na mwanadada Jasmine ambaye pia ndiye anayemsimamia Fiston Mayele.
๐ฆ Viongozi wa Yanga waliona kusiwe na mambo mengi kwa vile Fei hana mpango na timu yao wakakubaliana kumuachia kwa kulipa Sh 50m pia wakatoa angalizo la kutotaka kuona anatua Mzimbazi kutokana na kunasa taarifa nyuma ya sakata hili kuna mkono wa watani wao. (chanzo makini)