Siku ambayo watu weusi tutaamua kuijua elimu ya kutupa maarifa na sio ya kukariri, siku ambayo tutaamua kuijua nidhamu ya kazi na pesa, na siku ambayo tutaanza kuaminiana na kuitunza imani sisi kwa sisi kuliko kubaguana na kuona weupe ni bora zaidi, ndio siku ambayo tutaendelea.
Kaka @millardayo Nimeona Haya Mahojiano Yenu AyoTV Na Mbunge Msukuma, Naamini Wewe Ni Mwanahabari Mwenye Heshima Na Unayejua Maadili Ya Kazi Yako! Hivyo Hukupaswa Kusambaza Video Ya Udhalilishaji Namna Hii, Ni Matumaini Yangu Sio Tu Kwamba Utaifuta Lakini Pia Utaomba Radhi
OLE!!
We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan
Ndugu Watanzania wenzangu...kwa moyo mkunjuvu niwatakie heri ya mwaka Mpya. Kama kunaniliyemkwaza tusameheane,tuanze mwaka 2019 kwa upendo..God is Good All the time
Baraza lawafungia rasmi Wasanii 'Diamond Platnumz' na 'Rayvanny' kujihusisha na shughuli za Sanaa kwa kukiuka maagizo ya Baraza baada ya kuendelea kuutumia wimbo wa 'Mwanza' kwenye tamasha… https://t.co/4NY57JPVmq
Leo 18/12/2018 kuanzia saa 10:00 Jioni viongozi na wanasiasa Waandamizi wa vyama vya CUF, CHADEMA, NCCR Mageuzi, NLD, ACT Wazalendo na CHAUMA watazungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya kikao cha mashauriano.
Ukumbi: Hotel ya Verde, Mtoni, Zanzibar. - @salimbimani2
Muswada umejaa adhabu za kijinai na hivyo unafanya shughuli za Vyama kuwa jinai.Vifungu vipya vyote vimeweka adhabu ya faini au kifungo au vyote hata kwa mambo madogo kama vile kukosea taarifa au Msajili akitaka kujua taarifa za vikao vya chama #UhuruWaKufanyaSiasa
Nimemaliza mahojiano na @takukuru_tz Kuhusu Taarifa Nilizotoa kuwa Mradi wa #MchuchumaLiganga unacheleweshwa kwa makusudi na kufaidisha kampuni zinazoagiza bidhaa za chuma kutoka nje kwa mradi wa Reli. Leo nimeandika maelezo kwa takribani muda wa saa tatu na jana saa mbili
Mchana wa leo nimeitika wito wa PCCB @takukuru_tz Kutoa ‘ malalamiko’ kuhusu tweets zangu juu ya hujuma zilizopelekea mradi wa #MchuchumaLiganga kucheleweshwa na nchi yetu kupata hasara kubwa kwa kukosa ajira na kutumia fedha za kigeni kuagiza chuma toka nje.