Kama wewe ni Gaidi mwenzangu kama ambavyo Mwenyekiti wetu @freemanmbowetz wanavyomtuhumu basi retweet zifike 1000+ ili wajue kuwa "Kama Kuku ni haramu basi hata Vifaranga vyake ni haramu".
CHADEMA ina katiba, Misingi, Kanuni na Taratibu zake kama Chama, Naipongeza Kamati Kuu kwa Kusimamia vyema katiba ya Chama Chetu.#ThepartyhasSpoken#Nooneisabovetheparty.
"Wewe unakiasi chama, unaitwa mbele ya kamati kuu kuja kujieleza. Unakinajisi chama, unaitwa unaanza kutoa sababu eti upewe muda utafakari na barua zote 19 zinaonekana zimeandikwa na mtu mmoja - Freeman Mbowe
"Chama chetu cha CHADEMA tumeamua kuwavua nafasi za uongozi na uanachama wabunge wote 19 wa Viti Maalum walioapishwa kinyume na taratibu za Chama." @freemanmbowetz
Kama mwanachama wa @ACTwazalendo na mpenda Haki, NAUNGA MKONO maamuzi haya, EXCELLENT CHADEMA. Aluta Continua!!
“Kamati kuu imeazimia kuwavua Uanachama Wanachama wake wote waliokwenda kuapa, hatua ya kwanza tumewavua nyazifa zao na hatua ya pili tumewavua Uanachama.”@freemanmbowetz
Ila @freemanmbowetz aiseee! Huyu jamaa ana busara zimevuka kiwango cha kawaida cha binadamu wa kawaida!
👉Mwenyekiti Mungu akupiganie sana na sisi hatutakaa tukuache peke yako
👉Tutalia na wewe na kucheka na wewe yaani hatutakaa tukuache !
@ChademaTz tunakupenda kwa moyo wote