HII NDIO SABABU MICHEZO HAIKUI BONGO: SIASA NYINGI
Huyo “Kiziro” MAKONDA anaenda kuongea na TAIFA STARS ili iweje? Kwanini tunaendekeza WANASIASA sana kwenye vitu hivi? Kwanza ni WAZIRI HARAMU, maana ametokana na SERIKALI HARAMU ya SAMIA ambae AMEIBA UCHAGUZI na kuidhinisha Maelfu ya Watoto wa Kitanganyika kuuwawa kwa SILAHA ZA MOTO ili yeye abaki Madarakani.
Mataifa mengine, Wanaalikwa WACHEZAJI WA ZAMANI (Accomplished), Watu Mashuhuri Kihistoria waliowahi kabiliana na Ukinzani wakashinda, Wanajeshi wenye “Medals Of Honor”, Cancer Survivors, Makocha legendary, etc ili Wachezaji wawe INSPIRED. Sisi anaenda kuongea Mwanasiasa anayetafuta Legitimacy & Relevance, na inspiration yake ni “Mkishinda tunawapa Tsh MILLION 300”
Clip hiyo SAMUEL ETO’O anaongea na kikosi cha Cameroon, na kuwaambia wacheze kwaajili ya Bendera ya Taifa na Pride ya Nchi, sisi tunawaambia vijana wetu tutawapa HELA!! Yaaani NJAA zetu (ambazo wao wao ndio wametupa) wanazitumia kama SILAHA kila wakitaka kutuchota akili na kutupumbaza.
Sasa ukifanya Timu yako iwe inanunulika kirahisi hivyo, no loyalty, no integrity… inamaana akitokea mtu mwenye DAU KUBWA wanauza Mechi. 🤷🏾♂️
Million 300? ni sawa na Dola $125,000. Hiyo ilikuwa ni cheque ya One Week ya HASHEEM THABEET wakati anacheza NBA (I was there I saw it). Sasa team nzima ndio igawane hiyo… Alafu Waziri Mzima anasema kama vile ametaja bonge la hela. Na anapiga Siasa kabisa “tunaweza wawekea kwenye account kabisa, tubaki sisi kuwadai ushindi”.
Tuna Ex-Players kibao ambao wanaweza kuwa good MENTORS wa Madogo, ila unakuta msafara huko wameenda Viongozi na Wanasiasa, na maswahiba zao kama sio Michepuko yao.
BORESHENI VIWANGO VYA MCHEZO, MIUNDO MBINU, FACILITIES, TREATMENT na WALIMU, ili Soccer ikue kweli. Pia fundisheni madogo UZALENDO na THAMANI YA KUCHEZEA TAIFA, badala ya kuwa ENTICE na vihela mbuzi. Tatizo nyie wenyewe Uzalendo hamna ndio maana mnabagaza Katiba, Mnaua Watoto wa Wenzenu na kuwaweka Jela…. na ndio maana mnahangaika kuji sanitize na HELA ZA KUHONGA na SIASA ZA KITOTO. Hamna legit plans za long term, ni tia maji tia maji tu… hovyo kabisa!
Btw, huyo Naibu Waziri, namuita Kiziro sababu alipiga Div 0 NECTA! Na pia Mipango yake daily huwaga inafeli… so ni dhahiri akili ndogo sana anatumiaga 🤓
The Leader