Huyu muuwaji ndiye anatuita sisi MAGAIDI. The irony!!
Mungu sio mkazi wa Mkunazini wala Kizimkazi.
Endelea kukufuru.. siku yako ya miti kuteleza utaita maji mma.
Hakuna atakayekusaidia!
Itakuwa ni sherehe dunia nzima.
And you will rot in hell if you donโt repent.
Sugu nae ni Dalali mkubwa sana wa kisiasa. Mtu anaaandaa hadi matamasha ya Miaka 30 ya Bongo Fleva afu mgeni rasmi ni Viongozi wale wale anaosema waliingia madarakan isivyo halali, apo tumuaminije.
Uyu kununulika si chapu tu.๐
Hatujakusikia Hatukuhukumu. BAVICHA tutalinda Chama kwa nidhamu na Ujasiri Mkubwa. Hatutakuhukumu kwa tuhuma za sirini. Ukinyanyua mdomo na nia yako ikathibitika hadharani, Tutakukatalia. Kwa sasa tunathamini kila aliyeweka tofali katika ujenzi wa CHADEMA. Subirini Tamko la CC.
@MwanzoTvPlus@MariaSTsehai Tatizo huyu si kiongozi ni muuaji aliyejipachika madarakani bila ridhaa yetu wananchi hivi huyu akili zake zina akili kweli? Dah