@joeselasini Tutaendelea kufumbia macho hawa wajinga ila watakuja kutumiwa kama gangs kama Mรฉxico na tunaanza laumiana chanzo ila tuna muda tusubiri tuone MZANZIBAR anatupeleka wapi Sisi Watanganyika
@allan_kajembe@Advocate_Jebra@WakiliTv Wewe kiazi hivi hili linaweza kuwa zito zaidi ya wizi ulioneshwa kwenye report ya CAG na wezi wanaambiwa wasemwe waone aibu.
NB: Tuliza mshono kiazi wewe