The Hardest Thing in Life:
Can you confidently say you know yourself? If you answered with a simple 'Yes,' then you're on the path to success. If not, it's time for self-discovery.
(Thread)
@iamkizzyh Issue ya purpose(maana ya maisha), maswali ya kiroho na uwepo wa Mungu dini imetoa majibu bora zaidi na sayasi inakiri kushindwa kujibu sababu ya misingi yake ya kujibu maswali kwa kutegemea ushahidi unaopimika na majaribio.
@iamkizzyh Binafsi naamini kila kitu kina nafasi yake katika maisha ya kibinadamu. Dini na Sayansi mara nyingi hazipingani ila zinajibu maswali tofauti.
Hivyo basi, kila moja ina nguvu kuliko nyingine katika maeneo tofauti tofauti.
Mfano:
@iamkizzyh@keengeorge44 Kwa mantiki hiyo, swali “alitoka wapi” halitumiki kwake, kwa sababu dhana ya “kutoka” au “kuanza” inawahusu viumbe vilivyomo ndani ya muda na sio Muumba wa muda wenyewe.
@iamkizzyh@keengeorge44 Ni ngumu sana kupata majibu wakati hata swali lenyewe tunakosea kujiuliza.
Katika theolojia za dini kama Uislamu na Ukristo Mungu "aliyetuumba" hachukuliwi kama kitu kilichoumbwa.
Anaelezwa kuwa wa milele (hana mwanzo wala mwisho) na ndiye chanzo cha kila kitu.
@assengajrr Inategemea umezungukwa (una engage) na watu wa namna au aina gani. Wengi wanauza kwa watu ambao ni wateja wao.
Halafu janja jaribu ku-improve uandishi wako(no offense).
@SportsarenatzTz Malezi mabovu. Yaani Mangungu ashuke kumbembeleza onyango( mfano umetumika sababu ya umri) sababu ya utovu wa nidhamu. Can't be my team.
Kuna Captain, Kocha na benchi la ufundi.