@MkulimaKante Inategemea na mtazamo wetu juu ya kipi ni MUHIMU na kipi ni cha MAANA duniani. Na kuteseka kwa wanetu kutategemea mtazamo tutakaowarithisha.
@chapo255 Kulipa kwa ngumi asilimia kubwa kunatokana na kuuzwa kwa wingi kwa ticket za kutazama pambano,kuuzwa kwa hatimiliki za kurusha pambano kwenye televisheni nk. Ili hivyo vyote viuzwe kwa wingi inatakiwa watazamaji na warusha matangazo wavutiwe kwa wingi. HIZO NGUMI HAZIVUTII
@Mikede73@HildaNewton21 Think of it in this perspective: "Kama uko tayari kuendelea kumpangusa bwana jela na hilo panga(PSO) endelea, ila Na Lissu nae tutampa hilo hilo panga ampanguse nalo"
@WivoRN Worst player on the pitch!๐ . Oh! I know! These awards only make sense when they are given to a player who aligns with some or all of your beliefs,politics or race.
@Ballbrain09@EsirEid Vyombo vya usalama haviaminiani duniani kote. Kanun No.1 ya askari yeyote ni "usimuamini askari mwenzako,shuku kila kitu" . Vyombo vya usalama vina-sabotage-ana,vinapelelezana,vinatofautiana miiko, vina mipaka ya "eneo" la kazi. Chuki ya kikazi kati ya vyomb hivyo iko wazi.
Today, a CIA whistleblower sat before my committee and confirmed what I've said for years: government officials, including Dr. Fauci, deliberately misled the American people about the origins of COVID-19. This is not a conspiracy theory. This is sworn testimony. ๐งต
@A_M_R_M1 I don't like the man coz he engineered many of our defeats(I won't mention the club I'm a fan of๐ ). But I acknowledge and commend his common sense ..Yes common sense,coz nowday thats very rare among influential figures.
@The_PR0F3S0R Sikumbuki mara ya mwisho kusubiria trade ifike TP ni lini. Ila inshallah ntapata huo uvumilivu,najifunza.
Kuna mpopo mmoja aliuliza "Why is it easy to wait for a position to hit SL that to wait for it to hit TP!?"
Jibu litakufanya ujitathmini na ujikarabati psychologically.
@SWEBE_10 That's the life man, siku wakikuweka ofisini hata mwezi tu utatia huruma wewe๐ utatamani parapanda lipigwe Yesu arudi tu dunia ifike mwisho.
@SWEBE_10 We jamaa๐๐๐ ..hiyo vita ata kwa msaada wa Iran hutoboi,lazma wakuweke na kwenye jarida lao kama mfano mbaya wa mhandisi akiwa kazini.